google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,876
Ni ubunifu tu ina maana ya google kama jina langu mkuu kwani vipiIyoo profile pic inamaana gan[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ni ubunifu tu ina maana ya google kama jina langu mkuu kwani vipiIyoo profile pic inamaana gan[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sentensi yako ya mwisho ni 100% True!Kama kajinyonga simuombei amani aendapo. Anajiua na huyo kiumbe amemuacha na nani? Kujiua ni ubinafsi
Umbwa wewR.I.h.
Japo haijathibitika lakini hawa vijana huko vyuoni hawajali kabisa afya zao.98% itakuwa majibu ya HIV
usemayo Ni kweli mkuuJapo haijathibitika lakini hawa vijana huko vyuoni hawajali kabisa afya zao.
Nimesikitika saana, Nimesoma nae UDSM BAPSPA first year kabla hajaamia Huko.
Mungu amlaze Mahali pema.
pole! ila nimebaki nakodolea macho hiyo avatar yakoNimesikitika saana, Nimesoma nae UDSM BAPSPA first year kabla hajaamia Huko.
Mungu amlaze Mahali pema.
Hili ni la msingi sana, sio kila anayekutwa ananing'inia kwenye kamba anakuwa amejinyonga wengine hunyongwa. Nakumbuka kuna kijana fulani alikutwa hivyo uchunguzi ulipofanyika ikagundulika kuwa aliuwawa kwanza kisha akaning'inizwa.Amejinyonga au amenyongwa? Uchunguzi ufanyike
Eti? Hiyo h ina maana gani? House, hall, heaven, horizontal, hemisphere, hell, honey pot, hong kong au?R.I.h.
Acha kuhukumu mzee na kutaka kiki za kipuuzi...!! Wew huyo dada hata humjui...hujui kama alijinyonga au aliuwawa ndo akatundikwaa... Unakaa unajichekesha hapa na kuongea upuuzi...!!stupid....Hahaha sawa mkuu!! Tatizo ni HIV+
Jinga sana hilo lidada na ni mbinafsi sana kumuacha mtoto mdogo kiasi hicho ( kama ni wa kwake). Arest in Hell!