ARUSHA: Msomi Chuo Kikuu Makumira ajinyonga kwa mtandio

ARUSHA: Msomi Chuo Kikuu Makumira ajinyonga kwa mtandio

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,948
TANZIA

Kwa niaba ya Uongozi wa
Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, na Serikali ya Wanafunzi (TUMASO) Wizara ya Afya inasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi
Luciana Richard Olotu kilichotokea tarehe 07.05.2018.

Kwa masikitiko na majonzi makubwa, marehemu majira ya saa 11 jioni alikutwa amejinyonga bafuni.

Hadi police walipofika na kuuchukua mwili kwenda kuuhifadhi ktk Hospitali ya Mt. Meru, sababu ya maamuzi ya kujinyonga hazijajulikani bado. Jeshi la Police linaendelea na uchunguzi.

Marehemu alikuwa mwaka wa pili ktk Kitivo cha Humanity and Social Science program ya BAED.

Uongozi unatoa pole Kwa mshtuko na simanzi ya kupotelewa na wanafunzi
Luciana Richard Olotu

Wizara itaendelea kutoa taarifa kuhusu taratibu zitakazofuata.

Cc .
1. Dean of Students
2. Rais wa Tumaso
3. Waziri Mkuu
4. Speaker wa Bunge

[emoji767]WIZARA YA HABARI TUMASO 2017_18
IMG_20180507_215157_896.jpg
 
Bado ulikuwa mrembo sijui kwann ulijinyonga R I p
 
Uyo n moton moja kwa moja
Kujinyonga n maamuz ya upumbavu kwa mpumbavu, misiba yao huwa n kufukia tu haiitaj sala wala swala

Marehem asemwi ila wanaojiua huwa tunawasema sana
 
Back
Top Bottom