ARUSHA: Msomi Chuo Kikuu Makumira ajinyonga kwa mtandio

ARUSHA: Msomi Chuo Kikuu Makumira ajinyonga kwa mtandio

duu hadi mtu kifikia uamuzi wa kiinyonga ni kuwa ameona hana umuhimu wwte hapa duniani
 
Pole kwa familia yake...Rest In Peace Mwenyenzi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
*TANZIA*

Kwa niaba ya Uongozi wa
Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, na Serikali ya Wanafunzi (TUMASO) *Wizara ya Afya* inasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi
*Luciana Richard Olotu* kilichotokea tarehe 07.05.2018.

Kwa masikitiko na majonzi makubwa, marehemu majira ya saa 11 jioni alikutwa amejinyonga bafuni.

Hadi police walipofika na kuuchukua mwili kwenda kuuhifadhi ktk Hospitali ya Mt. Meru, sababu ya maamuzi ya kujinyonga hazijajulikani bado. Jeshi la Police linaendelea na uchunguzi.

Marehemu alikuwa mwaka wa pili ktk Kitivo cha Humanity and Social Science program ya BAED.

Uongozi unatoa pole Kwa mshtuko na simanzi ya kupotelewa na wanafunzi
*Luciana Richard Olotu*

Wizara itaendelea kutoa taarifa kuhusu taratibu zitakazofuata.

*Cc* .
1. Dean of Students
2. Rais wa Tumaso
3. Waziri Mkuu
4. Speaker wa Bunge

[emoji767]WIZARA YA HABARI TUMASO 2017_18View attachment 769594
Huyu marehemu hana uhusiano na yule Richard Olotu aliyekua manager wa Sudeco Moshi?
 
Aisee, inasikitisha sana.
Isije ikawa labda naye primary na sekondari alisoma shule za binafsi hivyo kuhofia hatima ya mkopo!
Hakuna sbb ni msongo wa mawazo mtoto wake alifariki na baba watoto aliyekataa mimba ambaye ata kwenye msiba wa mwanae hakwenda na kusikia anaoa mwanamke mwingine ndipo msongo wa mawazo yalipozidi !!
 
Yule Mzee wa miaka 104 aliyeamua ajipumzishe watu walioponda.Siwezi kumlaumu marehemu'roho ya kujiua ilimtawala akashindwa kuidhibiti.Ila kujinyonga na kitanzi ni mziki aiseee
 
Hili ni la msingi sana, sio kila anayekutwa ananing'inia kwenye kamba anakuwa amejinyonga wengine hunyongwa. Nakumbuka kuna kijana fulani alikutwa hivyo uchunguzi ulipofanyika ikagundulika kuwa aliuwawa kwanza kisha akaning'inizwa.
Wataalam wanajua aliyejinyonga na aliyenyongwa
 
Poa poa! Ila huyo mtoto ni wa Dada yake ambae ndo demu wangu mimi
Ndugu yangu ni vyema ukakaa kimya kama huna habari kamili, huyo dada alifiwa na mtoto wake kama miezi 2 iliyopita na inasemekana ndio sababu kubwa ya yeye kujiua, alishajaribu mara kadhaa kunywa sumu ikashindikana ndio akaamua ajinyonge..
 
Acha kuhukumu mzee na kutaka kiki za kipuuzi...!! Wew huyo dada hata humjui...hujui kama alijinyonga au aliuwawa ndo akatundikwaa... Unakaa unajichekesha hapa na kuongea upuuzi...!!stupid....
Uyu jamaa sijui ni mtu wa namna gani, hamjui uyo dada yeye anakomalia tu sijui demu wake sijui nini.. yani huku mitandaoni kuna vitu vingi sio vyakuaminika
 
Kama huyo mtoto ni wakwake, amemuacha kwenye mazingira magumu.

Kujiua ni uamuzi mbaya kuliko wote katika maisha

Kama ni changamoto sote tunazo.
Mtoto alifarik nae March
 
Hakuna sbb ni msongo wa mawazo mtoto wake alifariki na baba watoto aliyekataa mimba ambaye ata kwenye msiba wa mwanae hakwenda na kusikia anaoa mwanamke mwingine ndipo msongo wa mawazo yalipozidi !!
Duh.....pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki
 
Back
Top Bottom