ARUSHA: Msomi Chuo Kikuu Makumira ajinyonga kwa mtandio

ARUSHA: Msomi Chuo Kikuu Makumira ajinyonga kwa mtandio

mtoto alifariki march....
babake yupo ila mume wamtu
Ila wanawake wakati Mwingine mnakuwa na tabu sana Ingawa inashauriwa hiyo michezo usiianze Mapema lkn Mimi nadhani ikianzwa Mapema inasaidia kujitambua sasa Unafikia kujitoa uHAI sababu ya Mume wa MTU hii tunaiitaje jamani daah....
 
Kesi za wanafunzi wa chuo na sekondari zimekuwa lukuki
 
dah"!!! so sad,nilimfahamu back in the days,,dada ake na rafiki etu,,,she was so humble,alicheka na kila mtu,,R.I.P
 
Back
Top Bottom