shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,322
R.i.p
Huyo ni mwanae? if yes, pole baby kwa kuachwa yatima
Mama ni mtamu asikwambie mtu.Labda baba wa mtoto bado yu hai, hivyo anaweza asiwe yatima!
Mama ni mtamu asikwambie mtu.
Ooh maskini, kama ndo hivyo basi labda alipata stress za kumpoteza mtoto wake. Nafuta kauli yangu...R.i.p dada
Ibaki haina shida. Moyoni nimeifutaIfute kabisa ile post ya mwanzo.
Ibaki haina shida. Moyoni nimeifuta
Hiyo ni problem yao na si yangu!Kuna watakaoisoma hiyo kauli yako na hawatabahatika kuisoma hii ya mara ya pili unayorekebisha makosa. Nakuomba tu uifute ile kauli kwenye post uliyoandika mwanzo, ni ombi tu lakini.
Hiyo ni problem yao na si yangu!
Labda hana ada ya chuoMwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Kikuu cha Makumira mkoani Arusha, Luciana Richard (25), mkazi wa Morogoro amejinyonga akiwa chumbani kwake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni msongo wa mawazo.
Tukio hilo limetokea juzi, Kitongoji cha Kilalanaiti Kijiji cha Ndatu Kata ya pori, mwanafunzi huyo, alikutwa akiwa amejinyonga kwa kutumia mtandio wake alioufunga juu ya mlango wa bafuni.
Akizungumza na MCL Digital leo Mei 10, Mwenyekiti wa kijiji hicho, Elisante Pallangyo amesema, mwanafunzi huyo alijinyonga juzi.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Yusuph Ilembo amethibitisha jana kutokea kwa tukio hilo na kueleza uchunguzi bado unaendelea.
"Ni kweli tukio limetokea na uchunguzi unaendelea kujua sababu za kujiua mwanafunzi huyu,"amesema.
tumaini si chuo kimoja na makumira au ni mm ndo sijuiHivi juzi hapa Si yupo wa tumaini kama sikosei nae alijinyonga?
Yamekuwa mengi kweli haya matukio