Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,711
- 9,317
Rest in peace-Pumzika kwa amani. Hiyo ndiyo tafsiri nijuayo. Ni sawa na inafaa.Hivi mtu akijinyonga neno RIP linafaa kweli ??

Kibongobongo kila kitu kimeishia hapo! Kama kajinyonga au kanyongwa nani anajali?!Amejinyonga au amenyongwa? Uchunguzi ufanyike
Hebu nipe full story.Namjua na ndo alikua demu wangu, acha upuuzi wewe kushobokea usivyovijua
huyo chura ni natural or artificial?R.i.p
Na yeye ana makosa. Dhambi ya kuzaa na mume wa mtu imemtafuna.Rest in peace sister, nimefatilia michango ya wanachama mbalimbali kitu nilichogundua mpaka sasa, Dada lucy amepitia changamoto nyingi za kimaisha nadhani pia huenda zimepelekea kuchukua maamuzi magumu ya kujiondoa uhai.
Kama mtoto yatima alikosa mapenzi,upendo na nasaha za wazazi kama watoto wengi alimtegemea mpenzi kama ndio nguzo yake hapo baadae Mungu akiweka mambo sawa wafunge pingu za maisha.
Aidha pia kushindwa chuo UDSM akiwa ba PSPA mpaka kuamia mahali ambapo amefikwa na mauti ilikua ni changamoto kubwa kwake ikichangiwa na ugumu wa maisha, nimejifikiria nadhani mpendwa wetu lucy alijiuliza maswali kadhaa kabla ya kujiondoa pumzi ya uhai hayupo tena na wazazi, mtoto wake kipenzi ambae alikua faraja kwake hayupo nae tena, mpenzi alietegemea faraja toka kwake anaoa kwingine hivyo basi hakua na option nyingine zaidi ya kuwafuata wapenzi wake.
Nitoe onyo na wito kwa wadau hapa jf sio jambo la busara kuwa na mahusiano na binti matatizo yanapojitokeza au suala la majukumu dada zetu wanakimbiwa, kwa upande wangu najitaidi sana kujiepusha na hali kama hii.
Daah...amepitia maumivu sana...hayo yote yalimfanya ajione failure . Natamani kungekua na namna ya kubadilisha mambo au uelekeo wa maisha uende vile tunataka...maana kuna hali mtu anapitia mpaka uamuzi anaoona unafaa ni kujitoa uhai. Pumzika kwa Amani LucyRest in peace sister, nimefatilia michango ya wanachama mbalimbali kitu nilichogundua mpaka sasa, Dada lucy amepitia changamoto nyingi za kimaisha nadhani pia huenda zimepelekea kuchukua maamuzi magumu ya kujiondoa uhai.
Kama mtoto yatima alikosa mapenzi,upendo na nasaha za wazazi kama watoto wengi alimtegemea mpenzi kama ndio nguzo yake hapo baadae Mungu akiweka mambo sawa wafunge pingu za maisha.
Aidha pia kushindwa chuo UDSM akiwa ba PSPA mpaka kuamia mahali ambapo amefikwa na mauti ilikua ni changamoto kubwa kwake ikichangiwa na ugumu wa maisha, nimejifikiria nadhani mpendwa wetu lucy alijiuliza maswali kadhaa kabla ya kujiondoa pumzi ya uhai hayupo tena na wazazi, mtoto wake kipenzi ambae alikua faraja kwake hayupo nae tena, mpenzi alietegemea faraja toka kwake anaoa kwingine hivyo basi hakua na option nyingine zaidi ya kuwafuata wapenzi wake.
Nitoe onyo na wito kwa wadau hapa jf sio jambo la busara kuwa na mahusiano na binti matatizo yanapojitokeza au suala la majukumu dada zetu wanakimbiwa, kwa upande wangu najitaidi sana kujiepusha na hali kama hii.
Sio kwamba alie zaa nae ndo alioa mwingine??Na yeye ana makosa. Dhambi ya kuzaa na mume wa mtu imemtafuna.
Ok kumbe ndo hivyo? Kuna mdau mmoja hapo juu kasema amezaa na mume wa mtu. Stress zilimzidi.Sio kwamba alie zaa nae ndo alioa mwingine??
Cc demiHakuna sbb ni msongo wa mawazo mtoto wake alifariki na baba watoto aliyekataa mimba ambaye ata kwenye msiba wa mwanae hakwenda na kusikia anaoa mwanamke mwingine ndipo msongo wa mawazo yalipozidi !!
muongo huyo
Amejinyonga au amenyongwa? Uchunguzi ufanyike
Well Said Mkuu, Last Week Nilipata Ajali Mbaya Sana Na Matatizo ya Kifamilia, Nilijiona Nipo Mwenyewe, Nilileta Linalonisibu Humu, Huwezi Amini Ilinisaidia Mno, Kuna Watu Wana Busara Jamani, Japo Pia Kuna Walionikebehi, Ila Nashukuru Sana Kwa Ushauri Wao, " ULINISAIDIA MNOO " [emoji122]Msongo was mawazo ni kitu kibaya sana.
Tusikae na vitu moyoni,speak out.Hata kama hawawezi kukusaidia lakini at least inapunguza mzigo na chance ya kufanya vitu vyeusi
Dada Unaonekana, Wewe Ni Msafi SanaNa yeye ana makosa. Dhambi ya kuzaa na mume wa mtu imemtafuna.
Kuna watu wako sharp sana kunyooshea wenzao vidole haya maisha yana changamoto nyng saana uspokua makini unaweza katisha uhai n watu wakabak wanakuhukum tofaut ww ushajfia hata wakisema haiathr chochote ilhal wao pia hawajui kesho yaoRest in peace sister, nimefatilia michango ya wanachama mbalimbali kitu nilichogundua mpaka sasa, Dada lucy amepitia changamoto nyingi za kimaisha nadhani pia huenda zimepelekea kuchukua maamuzi magumu ya kujiondoa uhai.
Kama mtoto yatima alikosa mapenzi,upendo na nasaha za wazazi kama watoto wengi alimtegemea mpenzi kama ndio nguzo yake hapo baadae Mungu akiweka mambo sawa wafunge pingu za maisha.
Aidha pia kushindwa chuo UDSM akiwa ba PSPA mpaka kuamia mahali ambapo amefikwa na mauti ilikua ni changamoto kubwa kwake ikichangiwa na ugumu wa maisha, nimejifikiria nadhani mpendwa wetu lucy alijiuliza maswali kadhaa kabla ya kujiondoa pumzi ya uhai hayupo tena na wazazi, mtoto wake kipenzi ambae alikua faraja kwake hayupo nae tena, mpenzi alietegemea faraja toka kwake anaoa kwingine hivyo basi hakua na option nyingine zaidi ya kuwafuata wapenzi wake.
Nitoe onyo na wito kwa wadau hapa jf sio jambo la busara kuwa na mahusiano na binti matatizo yanapojitokeza au suala la majukumu dada zetu wanakimbiwa, kwa upande wangu najitaidi sana kujiepusha na hali kama hii.
Mumeo mbona haonekanii?,ila kuna tetesi tayari yupo uraiani...Bwana!!!