Umechelewa sana kutoa ushauri ndugu,labda ukiweza upite na gari yenye spika Arusha nzima usiku huu..yatayotokea kesho mtajuta
Ilikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....
=======
Kama wamekutuma wapelekee taarifa vyovyote watakavyoona ni sawa tu machalii wameshachanganyikiwa.Hebu nijuzeni kinaga ubaga manake wala cjaelewa msingi wa hayo maandamano. ni kumuunga mkono Lema, kupinga OCD kuwaita wananchi panya(ingawaje hili ndo nimekuisikia ucku huu humu jf) au kupinga ukiukwaji wa katiba, haki za binadamu n.k kama alivyoelezea liverpoolfc?! manake naona kuna full mixing na ujuzi!!
All the same we have nothing to lose than chains.Ndugu yangu, machafuko yakitokea yatamkumba kila mtanzania ndani na nje ya nchi. Na ni jukumu la kila mtanzania kuhakikisha kwamba amani tuliyokuwa nayo inalindwa kwa gharama yoyote ile.
Ninayasema haya kwa mapenzi ya Tanzania na Watanzania.
absolutely let us unite , be one with one voice. Unity is the wordwatanzania wa mikoa mingine wanabidi kuiga mshikamano wa wakazi wa arusha ili kupambana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya magamba kwa kupitia vyombo vya dola. Hongera zenu wakazi wa arusha kwa kuwa na msimamo usiotetereka katika kupinga unyanyasaji wa watanzania.
Wito wa mgomo na maandamano ya kupinga Ukiukwaji wa Katiba, haki za Binadamu, ukatili wa police na udhalilishaji wa serikali kwa raia hapa nchini na hasa hapa Arusha. Damu ya mashujaa iliyomwagika kudai Uhuru, haki Uzalendo wa taifa iwe WINO wa kuasisi Taifa jipya.
Jasho la mateso na unyanyasaji liwe ISHARA ya utumwa wa mzawa ktk taifa lake na CHOZI la uchungu wa Umaskini, maradhi, ujinga na ufisadi liwe NISHATI ktk kuwasha taa ya HEKIMA, UJASIRI na NGUVU ya UMMA kuleta mapinduzi ya Kiraia.
KULAANI NA KUPINGA OCD-ARUSHA KUWAITA WANANCHI "PANYA".
Nawasilisha!
Dar Es Salaam (Bandari ya salama pamoja na Bwagamoyo) ilikuwa ni sehemu ya makusanyo ya watumwa kabla hawajatawanywa kuelekea maeneo mbali mbali duniani, hivyo tangu kipindi hicho hata sasa akili za watu wa pale zimerithi elements hizo hizo za kitumwa tumwa, angalia hata wanafunzi wanaosoma shule za Dar na Mikoani tofauti zao ni kubwa sana.
Iliyobaki ni kuu boycott tu ule mji watu waliopo kule wa-retreat na kurudi mikoani ili kufanya mapinduzi halisi ya Kisiasa, kiuchumi,kiutamaduni n.k
Kuliko kung'ang'ania kuishi kwenye makutano ya watumwa as if we are slave masters or buyers
Hivi tangu wale CHADEMA wawaue wale vijana wawili, familia zao zikoje ? au ndo yameishia hapo? Wengine wameshajipatia umaarufu na imetoka. Nadhani sasa watu wa arusha mmeshatambua kuwa watu wanajipatia umaarufu kupitia damu zenu. Msikubali kuvunja sheria za nchi kwa ajli ya kuwapa umaarufu wachache
Ilikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....
=======
kwaio unashauri chadema watende yale ya kuifurahisha ccm,alafu iweje?kama unataka kuifurahisha ccm hamia kwa wenzi wao cuf
Dah! Hii ni mbaya sana. Yaani mtu na akiliz zako unaona kumwaga damu isiyo na hatia ni sawa?hakuna tena muda wa kuskilizia..
damu itayomwagika kesho haitajenga tu chama bali utakuwa mwanzo wa Tanzania mpya..
Huuureeey na kweli kesho lazima porti, hawa maboya wanaitwa mapolisi kweli tunawasubiri kesho. Wanasahao kwa kuna kesho ccm aitakua madarakani. Mkuu ule wa polisi jk amemweka hule msilamu mwenzake afae anatakiwa atolewe. Kweli huyo rais wetu amesoma au ni kihiyo. Mabaraza zake zote ni bomb kabisa. Sio mawaziri n.k.ccm inaleta ujafuko nchini ---- there are some issue which even a lay person can judge. Wamemweka mhe. Lema ndani kwa sababu gani mbona hiyo case aiishi ? Tunauliza ccm (chama cha mamafia) wana njama gani didi ya peoples power
Yote sawa tu. Buti sioni kama kitendo hiki kitatunufaisha zaidi ya kutuua kisiasa. Enyi viongozi wa Chadema, mbona bado mko kimya? Toeni basi tamko....naona wote mmekaa kimya mnaogopa kuongea chochote.Hebu nijuzeni kinaga ubaga manake wala cjaelewa msingi wa hayo maandamano. ni kumuunga mkono Lema, kupinga OCD kuwaita wananchi panya(ingawaje hili ndo nimekuisikia ucku huu humu jf) au kupinga ukiukwaji wa katiba, haki za binadamu n.k kama alivyoelezea liverpoolfc?! manake naona kuna full mixing na ujuzi!!
Tamko la nini ule ni mgomo wa wapiga kura wa mbunge hata wana CCM wamo bora uwaambie CCM watoe tamko kuwakataza wanachama wao. CDM haina haja ya kusema chochote wataharibu mchuzi ni sawa na train ikishaona njia dereva hana haja ya kukata kona itafuata reli yenyewe..Yote sawa tu. Buti sioni kama kitendo hiki kitatunufaisha zaidi ya kutuua kisiasa. Enyi viongozi wa Chadema, mbona bado mko kimya? Toeni basi tamko....naona wote mmekaa kimya mnaogopa kuongea chochote.