Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Hivi hizo pikipiki ni mali ya Chadema? hawa jamaa watakaogoma nadhani watakuwa ni wahuni tu na huo mgomo sijui kama utakuwa na madhara yoyote kwa serikali
 
Be peaceful, be courteous, obey the law, respect everyone; but if someone puts his hand on you, GIVE HIM MISRATA
 
Tumechoka kuonewa, Lema komaa mpaka uachiwe bila mdhamana wowote, lazima moto uwake nchi nzima. Mwanzoni walijua Dr. Slaa asipokuwa Bungeni basi Zitto watamdhibiti kwa kumsifia nk., Sasa wamenjaa wapiganaji tunataka sasa wabunge CDM muongozi migomo nchi nzima kwa wakati mmoja kanda zote. Kaskazini, Nyada za Juu, Kanda ya Ziwa, kanda ya kati, n.k
 
Kwa matamshi yake ya lkinywa chake ama hakika OCD hili lazima litamgharimu, yeye ni nani katka nchoi hii hata awaite Watanganyika wa Arusha kuwa wao ni panya. Anatumia kodi zetu kusafisha masaburi yake alafu leo hii anawaita watu panya.

Waliokua wakimiliki silaha kali na vifaru na mahekalu waliwaita watu wao pany tena mende na sasa hawako tena duniani. Zuberi akienda barabrani kuwapiga risasi akumbuke nyumbani ameacha familia si ajabu wananchi wakaigeuza familia yake kuni.
 
Wito wa mgomo na maandamano ya kupinga Ukiukwaji wa Katiba, haki za Binadamu, ukatili wa police na udhalilishaji wa serikali kwa raia hapa nchini na hasa hapa Arusha. Damu ya mashujaa iliyomwagika kudai Uhuru, haki Uzalendo wa taifa iwe WINO wa kuasisi Taifa jipya.

Jasho la mateso na unyanyasaji liwe ISHARA ya utumwa wa mzawa ktk taifa lake na CHOZI la uchungu wa Umaskini, maradhi, ujinga na ufisadi liwe NISHATI ktk kuwasha taa ya HEKIMA, UJASIRI na NGUVU ya UMMA kuleta mapinduzi ya Kiraia.

KULAANI NA KUPINGA OCD-ARUSHA KUWAITA WANANCHI "PANYA".

Nawasilisha!

hii nimeipenda kweli......safi sana
 
Hakika kwa hili moto utawaka, kumchimbia mkwara mbunge, tumekwisha kisiasa. Ni aibu kwa Tanzania, Mbunge ndie mwakilishi wa wananchi, hivi Police wanajua wanachofanya au misifa tu. Msituletee balaa hapa. CCM sio yenye Tanganyika, ni dhamana tu.
 
Ujumbe tumeupata, tunategemea hakuna watakaoomba kupelekwa gerezani kuungana na Mbunge wenu.
 
for sure, many Tanzanian have waited things to emerge from Dar es Salaam but nothing really positive (just little success in Ubungo and Kawe)! This is reminding me the history of this country as TANU movements were mostly upcountry (Tabora) although the rulers were in Dar. May be it could be another fact of Mwalimu's intention of moving the capital to Dodoma.
Please Arusha, do something and become the source of Liberating this blessed land of Tanzania (Tanganyika)
Dar es salaam is a place for Zombies, expect nothing Positive from there, to them life means breathing and ass kissing, exclude the few who lives there.
Sema hakyamungu nawe Kakalende kama hutokei Dar es Salaam :-(
Ujumbe tumeupata, tunategemea hakuna watakaoomba kupelekwa gerezani kuungana na Mbunge wenu.
 
Solidarity for ever! Peoples Power!
huo mgomo upokelewe nchi nzima na Zuberi Mwombeji awajibishwe kwa kuwaita wanadamu wenzake panya!

Serikal i ingemwajibisha tu huyo mwanadamu anayewaita wenziwe PANYA ili kuepusha shari na hasara. Au hilo la panya ni zuga tu kuna lingine!?
 
Wito wa mgomo na maandamano ya kupinga Ukiukwaji wa Katiba, haki za Binadamu, ukatili wa police na udhalilishaji wa serikali kwa raia hapa nchini na hasa hapa Arusha. Damu ya mashujaa iliyomwagika kudai Uhuru, haki Uzalendo wa taifa iwe WINO wa kuasisi Taifa jipya.

Jasho la mateso na unyanyasaji liwe ISHARA ya utumwa wa mzawa ktk taifa lake na CHOZI la uchungu wa Umaskini, maradhi, ujinga na ufisadi liwe NISHATI ktk kuwasha taa ya HEKIMA, UJASIRI na NGUVU ya UMMA kuleta mapinduzi ya Kiraia.

KULAANI NA KUPINGA OCD-ARUSHA KUWAITA WANANCHI "PANYA".

Nawasilisha!
Liverpoolfc hayo matusi si ndiyo ya Col Gadafi wa Libya mwisho wake si wameuona, sasa sijui hii Tanzania itaishia wapi kama haitakuwa na vingozi wenye busara?
 
Natamani kesho uwepo mgomo wa daladala zote, pikipiki zote. Kila mtu akose usafiri wa kufika ofisini ili heshima iwepo hapa mjini.
 
CART311011.jpg Samahani kwa kuleta mzaha katika hii thread ambayo huenda ikawa na mambo yaliyo serious zaidi. Nataka tu kutoa ujumbe wa hapo kwenye red.
Serikal i ingemwajibisha tu huyo mwanadamu anayewaita wenziwe PANYA ili kuepusha shari na hasara. Au hilo la panya ni zuga tu kuna lingine!?
 
Hivi hizo pikipiki ni mali ya Chadema? hawa jamaa watakaogoma nadhani watakuwa ni wahuni tu na huo mgomo sijui kama utakuwa na madhara yoyote kwa serikali
Yaani haya maneno yenu ndiyo tunayataka kesho....
 
Serikal i ingemwajibisha tu huyo mwanadamu anayewaita wenziwe PANYA ili kuepusha shari na hasara. Au hilo la panya ni zuga tu kuna lingine!?
Mkuu hilo la panya ni mwendelezo tu kuna mengi yanayofanywa na polisi.....
 
for sure, many Tanzanian have waited things to emerge from Dar es Salaam but nothing really positive (just little success in Ubungo and Kawe)! This is reminding me the history of this country as TANU movements were mostly upcountry (Tabora) although the rulers were in Dar. May be it could be another fact of Mwalimu's intention of moving the capital to Dodoma.
Please Arusha, do something and become the source of Liberating this blessed land of Tanzania (Tanganyika)
Sema hakyamungu nawe Kakalende kama hutokei Dar es Salaam :-(

Dar Es Salaam (Bandari ya salama pamoja na Bwagamoyo) ilikuwa ni sehemu ya makusanyo ya watumwa kabla hawajatawanywa kuelekea maeneo mbali mbali duniani, hivyo tangu kipindi hicho hata sasa akili za watu wa pale zimerithi elements hizo hizo za kitumwa tumwa, angalia hata wanafunzi wanaosoma shule za Dar na Mikoani tofauti zao ni kubwa sana.

Iliyobaki ni kuu boycott tu ule mji watu waliopo kule wa-retreat na kurudi mikoani ili kufanya mapinduzi halisi ya Kisiasa, kiuchumi,kiutamaduni n.k
Kuliko kung'ang'ania kuishi kwenye makutano ya watumwa as if we are slave masters or buyers
 
Hao wanaogoma wanamgomea nani? Halafu wewe Crashwise, acha kuwasemea watu wa Arusha kama kugoma goma peke yako na Toyo yako
 
Natamani kesho uwepo mgomo wa daladala zote, pikipiki zote. Kila mtu akose usafiri wa kufika ofisini ili heshima iwepo hapa mjini.
Walivyo panga kama kutatokea mwenye kiherehere akaingiza gari barabarani basi watashusha vioo vyote...ni swala la kusubili tu
 
Back
Top Bottom