Arusha: Kwanini vijana wengi ni wachafu sana ?

...Arusha,..jiji ninalolipenda kuishi kuishi kuliko mji wowote Tanzania bara na visiwani
....Niko dar now for more than 4 yrs,,...ila sijawahi kuacha kuwaza kuhusu kurudi Arusha,-I do promise ntarudi Arusha
....kwetu Mbeya ,ninaishi dar ila ntarudi Arusha...dar vilaza wengi
 
Nikikusahau Arusha na mkono wangu ukatike
 
Njoo kwangu mimi nimepanga PPF nyuma ya Sun flag

Pale maji na usafiri havisumbui hivyo mavumbi mpaka nikipita maeneo ya

Kijenge juu, Sanawari, maeneo ya engo kuja Daraja 2 pia Sinoni pamoja na unga Ltd.
 
Watu wa Arusha washamba sana wana jifanya wagumu kumbe washamba,pombe sana,wizi sana yani wana ujanja flani wa kishamba nimekaa nao mwaka mmoja nikawasoma jinsi walivyo washamba,kuna Jamaa mmoja tulisomaga nae Sua kuna siku kaenda DSM kapotea na alikua anajifanya mjanja
hahaaaa hamkumuokota kule msituni kweli
 
Arusha ni wapenda sifa sana,,, wanapenda kujivuna kama namna mmarekani anavyojivuna kuwa yeye ni muamerica.. That's nasty.. Uuni wao wakuiga na vijana wenyewe wanahali ngumu.. Arusha inajengwa na wageni
 
..yeah sure mkuu,..hawa machoko wa dar ni hopeless kabisa.
...kwanza hawa machoko wa dar ni waoga hasa wa maisha,..kutwa kupiga mizinga
road06.jpg
Arusha baby....

Hiyo ni Arusha By-pass ikikamilika ni ni balaa tupu
 
Arusha ni wapenda sifa sana,,, wanapenda kujivuna kama namna mmarekani anavyojivuna kuwa yeye ni muamerica.. That's nasty.. Uuni wao wakuiga na vijana wenyewe wanahali ngumu.. Arusha inajengwa na wageni
...dar ndio malimbuke wa kuiga sana,..wanaiga mbaka uchoko,..wengi wanaishi kwa kuigiza..kiuhalisia wana maisha duni mno...ni vilaza, waoga,wanafki,..stupid them
 
Watu wa Arusha washamba sana wana jifanya wagumu kumbe washamba,pombe sana,wizi sana yani wana ujanja flani wa kishamba nimekaa nao mwaka mmoja nikawasoma jinsi walivyo washamba,kuna Jamaa mmoja tulisomaga nae Sua kuna siku kaenda DSM kapotea na alikua anajifanya mjanja
Ushamba Uko wapi? Wanaume wa Dar ndio Mnavyojidanganya..Chuganian!
 
Watu wa Arusha washamba sana wana jifanya wagumu kumbe washamba,pombe sana,wizi sana yani wana ujanja flani wa kishamba nimekaa nao mwaka mmoja nikawasoma jinsi walivyo washamba,kuna Jamaa mmoja tulisomaga nae Sua kuna siku kaenda DSM kapotea na alikua anajifanya mjanja
Wewe unaonekana mshamba sana,jikite kwenye mada
 
Njooni mjibu tuhuma watu wa Arusha,kwanini mnakuwa hivyo...?
 
Kwenye pilika pilika zangu za hapa na pale nimejikuta nikidondokea jiji la Arusha. Jiji limechangamka sana ila sasa vijana wengi ni wachafu sana kuanzia nguo, miili yao , viatu na wananuk sana midomo yao (iliyopakwa rangi).

Ni kwasababu ya baridi au ni hulka tu jamani?

Halafu wana vimisemo vyao fulani iv vya kihuni huni lakini hawana ujanja wowote.
Umefikia ngusero kwa shemeji yako?
 
Back
Top Bottom