Mimi najiuliza tu kwanini arusha? Umetumia sample ya mikoa mingapi hadi ukafikia hitimisho? Kwanini nyuzi nyingi ni za kuwadiss wanaume wa arusha? Kwanini nyingi zinaanzishwa na wanaume wa dar? Jibu ni moja tuuuuu mna inferiority complex inawasumbua na mwanaume kujadili usafi wa mwanaume mwenzake ni ushoga unataka wawe wasafi ili wakunyonye kinyeo au? Endelea kujipodoa harusi yako Iko karibu huku kwetu mwanaume anasifiwa kazi kuoga ni baada ya kazi. Nikushauri tu Hama hapo kwa shemeji yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.