Arusha: Kwanini vijana wengi ni wachafu sana ?

Arusha: Kwanini vijana wengi ni wachafu sana ?

Hakuna cha baridi wala nini sema mipombe iyo wanayukunywa ndo inawafanya wasahau kuoga sasa unakuta MTU kila muda kalewa unazani uyo hatakumhuka kuoga jaman

Kunuka Mdomo :: Bangi na Sigala wanazo vuta ndotatizo

aisee machalii zangu tuoge bana siku moja moja qw qw
We kaka mzuri
 
Huu ugonjwa wa kugeneralize vitu mbaya sana. Umeona wapiga debe then unasema ni vijana wa Arusha wote. Njoo tukupeleke kwa vijana wa IAa,Atc,nelson mandela,mount meru,university of arusha, makumira tumaini,n.k uone wanavovaa. Pia tukupeleke sehem za refreshment kama via via, bogaluu,aim mall, sable square,club d,tripple a, n.k
Nadhan utakua umeishia stendi ya kilombero
Nawe umegeneralise kama jamaa tu kwanini umuelekeze kwenye vyuo tu
 
Tatizo ugoro na mirungi
Pamoja na bhangi, pombe kwa sana, uhuni wa kizamani. Lakini si wote ila asilimia kubwa vijana wa R' Chuga ndivyo walivyo. Wanawake nao wanajifanya wagumu. Kwa kifupi wana tabia za kizamani.
 
Watu wa Arusha washamba sana wana jifanya wagumu kumbe washamba,pombe sana,wizi sana yani wana ujanja flani wa kishamba nimekaa nao mwaka mmoja nikawasoma jinsi walivyo washamba,kuna Jamaa mmoja tulisomaga nae Sua kuna siku kaenda DSM kapotea na alikua anajifanya mjanja

Wazungu washamba sana, mpaka wakabuni google map. Wangekua wajanja kama wewe wasingebuni google map.
 
Pamoja na bhangi, pombe kwa sana, uhuni wa kizamani. Lakini si wote ila asilimia kubwa vijana wa R' Chuga ndivyo walivyo. Wanawake nao wanajifanya wagumu. Kwa kifupi wana tabia za kizamani.
Home lakini same time bana kunanishangaza sana madogo hawashauriki asee
 
Home lakini same time bana kunanishangaza sana madogo hawashauriki asee
Makundi haya yanawaharibu, nina marafiki zangu wa kike walikuwa wanavuta mpaka mabhangi wakitembea wanavaa makoti makubwa mpaka chini. Washikaji nao wanaitikadi za kiukorofi sana. Nilikaa nao hostel moja kipindi nasoma room yao ni bhangi kwenda mbele na kipindi kile kulikuwa na viroba wanakunywa sana.

Kuna chalii naye aliiga kutumia ugoro kwa machalii wengine aisee! Alivyolala usiku kesho yake aliamkia saa 8 ya mchana.
 
Kule hamna kitu....bangi huwa zinawasumbua
 
Inafurahisha na kuhuzunisha sana... usela mwingi labda...

Kuna kipindi fulani nilitembelea Arusha nilifikia Sanawari, sikuona hao wachafu si wakaka wala wadada wapo vizuri tuu...


Cc: mahondaw
 
Makundi haya yanawaaribu, nina marafiki zangu wa kike walikuwa wanavuta mpaka mabhangi wakitembea wanavaa makoti makubwa mpaka chini. Washikaji nao wanaitikadi za kiukorofi sana. Nilikaa nao hostel moja kipindi nasoma room yao ni bhangi kwenda mbele na kipindi kile kulikuwa na viroba wanakunywa sana.

Kuna chalii naye aliiga kutumia ugoro kwa machalii wengine aisee! Alivyolala usiku kesho yake aliamkia saa 8 ya mchana.
Siku hizi ugoro, bangi, sijara nyota na pombe inayoitwa k.vant vimekuwa fashion kwa vijana wa leo yaani huu mkumbo hadi kuna baadhi ya wanafunzi wa sec bornding wanatoroka wanaingia vijiweni mwanzo mwisho kupata mambo
 
Nyie walaini wa Dar ndio mnauza tigo, bora wabaki kuwa wagumu na washamba lakini sio kuwa mashoga.
Ushoga umetapakaa mpaka R' Chuga aisee, siyo Dar tu peke yake ijapokuwa Dar umezidi. Kusema kwamba wana ugumu hamna wana ulimbukeni. Mtu akitoka Dar wanakuchukia kwa tuliyesoma Arusha imetutokea hii. Ukiwa unatembea na mwanamke wa Chuga wakijua wewe wa Dar utasikia " aisee Arifu, huyu jamaa niaje anatuchukulia Dada yetu".

Halafu wengine tumechanganya damu kuna watu mpaka wa kule wapo. Ila wakijua umetokea Dar tu basi matatizo.
 
Back
Top Bottom