Arusha: Kwanini vijana wengi ni wachafu sana ?

Mavitu makali makali yanapatikana Arusha tuu...

Hapo ni Laki Laki Kisongo..

40.jpg
16-11-28_02.jpg

16-11-28_01.jpg
 
Chugga kuna watu wako smart na wana pesa,hebu niambie matour guides unawaonaje,au madalali wa Tanzanite,wengi wao wako smart na wana drive gari za maana,suala la uchafu liko kila sehemu,
Kuna watu wana nature ya kuwa rafurafu.
Kwa hiyo usituchanganye wote,wengine tupo poa aisee!!
 
Hivi ulishaona mzungu msafi??ukiwa MTU wa pilikapilika lazma uwe rafurafu Ila mmute mida ya kutumia uone....ingawa wapo wasafi,tens wasafi haswa na haswa madem wa chuga wasafi mno.
Kwahiyo mnaiga wazungu sio? Vipi na tabia zao za kuoana jinsia moja mmeshaiga au ndo mko mbioni?
 
Chugga kuna watu wako smart na wana pesa,hebu niambie matour guides unawaonaje,au madalali wa Tanzanite,wengi wao wako smart na wana drive gari za maana,suala la uchafu liko kila sehemu,
Kuna watu wana nature ya kuwa rafurafu.
Kwa hiyo usituchanganye wote,wengine tupo poa aisee!!
tour guide wamejichokea tu wanaolewa na vibibi vya kixungu....Madalali wa madini pale ottu hawana hata senti tano
 
Huu ugonjwa wa kugeneralize vitu mbaya sana. Umeona wapiga debe then unasema ni vijana wa Arusha wote. Njoo tukupeleke kwa vijana wa IAa,Atc,nelson mandela,mount meru,university of arusha, makumira tumaini,n.k uone wanavovaa. Pia tukupeleke sehem za refreshment kama via via, bogaluu,aim mall, sable square,club d,tripple a, n.k
Nadhan utakua umeishia stendi ya kilombero
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom