Arusha: Kwanini vijana wengi ni wachafu sana ?

Arusha: Kwanini vijana wengi ni wachafu sana ?

Ushamba tu hela hawana na mizinga bila aibu, Si mademu wala masela wote wanaoga kwa manati, plus meno yameungua
 
kuna Jamaa mmoja tulisomaga nae Sua kuna siku kaenda DSM kapotea na alikua anajifanya mjanja
Wewe mjanja wa dar ukienda New York haupotei? Au ukiwa mjanja basi moja kwa moja huwezi potea ktk jiji lolote lile duniani?

Mods, mlibadili comment yangu na kuweka mtakavyo, nimeirudisha iwe kama nilivyoiandika awali.
 
Watu wa Arusha washamba sana wana jifanya wagumu kumbe washamba,pombe sana,wizi sana yani wana ujanja flani wa kishamba nimekaa nao mwaka mmoja nikawasoma jinsi walivyo washamba,kuna Jamaa mmoja tulisomaga nae Sua kuna siku kaenda DSM kapotea na alikua anajifanya mjanja
Umekaa mwaka. Arusha ni pana sana, jamii ni nyingi pale so si wote wako kama unavyosema.
 
Watu wa Arusha washamba sana wana jifanya wagumu kumbe washamba,pombe sana,wizi sana yani wana ujanja flani wa kishamba nimekaa nao mwaka mmoja nikawasoma jinsi walivyo washamba,kuna Jamaa mmoja tulisomaga nae Sua kuna siku kaenda DSM kapotea na alikua anajifanya mjanja
kupotea sio ushamba mkuu,,,mgen kupotea si lakushangaa,,,,,,,halafu ujanja sio kuijua dar...kwani dar kitu gan jmn had iwe kipimo cha ushamba...mtu kutoijua dar au kutofika dar ni ushamba?.....mshamba ni yule anayejisifia kuwa NAIJUA?NAISHI DAR......
 
Oya Wagumu wa chuga muwe mnaoga sumtime siyo busy na pesa tu.
 
Oya Wagumu wa chuga muwe mnaoga sumtime siyo busy na pesa tu.
Ninja
IMG-20180721-WA0030.jpg
 
Vijana wengi wa Arusha wanakula sana bangi,pombe kali,mirungi (mkokaa) na ugoro ndyo maana wananuka midomo
Pia,hawa majamaa nakubaliana na wewe kwenye uvaaji ni zero na huwa wanavaa viatu vikubwaaaaa wao wanaita ndula!
yah viatu vikubwa jeans nyembamba na kitambaa mfuko wa nyuma kichwani kofia ya kitambaa boshori
 
Mpaka wanawake au huo uchafu ni kwa vijana wa kiume tu?!

Nina marafiki wa arusha humu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom