Arusha kuweni serious suala la Mbunge ajaye

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
17,644
Reaction score
27,739
20250625_115057.jpg

Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu anapigiwa debe na WADUDU
 
Wa Dudu 😂😂
Kule hatoboi kama Lema akisimamisha mji mbona ata aje makala hatoboi kule hakuna ata mwenye time na hao wadudu ni yeye aliwabrand tu hakua mikoa iko serious kama mikoa iliyoko na wachaga wanajielewa sana baada ya wachaga wanafuata wakinga wengine muuliwe tu sijui vichwa vina uji
 
Meneja Kampeni atakuwa Mwamba 😁
 
Makonda yupo vizuri, na anaushawishi. Kupeleka hoja juu kwake ni rahisi. Makonda anafaa sana na naamini atafanya mambo mengi sana Arusha.
Huyo ni master. mind; keshajisawazishia njia kwa malengo yake. Hafai ubunge; hira ni nyingi na ataumiza watu
 
Makonda yupo vizuri, na anaushawishi. Kupeleka hoja juu kwake ni rahisi. Makonda anafaa sana na naamini atafanya mambo mengi sana Arusha.
Ananuka damu za watu, mikono yale ni miovu
 
Back
Top Bottom