ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,487
- 88,627
Gambo anaweza kuwa mnafiki kumzidi Mlezi wa wadudu 😁 😁 😁Hatuwezi kua na mbunge mnafiki aina ya Mrisho Gambo
Gambo aondoke muda wake umeisha
Kigamboni hawakuwa wajinga
Gambo anaweza kuwa mnafiki kumzidi Mlezi wa wadudu 😁 😁 😁Hatuwezi kua na mbunge mnafiki aina ya Mrisho Gambo
Gambo aondoke muda wake umeisha
Ndio maana niliandika mahala kwamba Kwa mchakato huru ndani ya Chama, Kiongozi wa wadudu hamtoboi ila Kwa kubebwa atatoboa.Mfumo ndy unataka makonda awe mbunge huko
Mbunge wenu ndiyo huyo
Ova
Kagombee wewe sasa!. Nina uhakika wajumbe hawatakupa hata kura moja.Si Gambo si Makonda wote HAWAFAI
Ndugu yako Gambo ni kwa heri imeisha hiyo. CCM Taifa hawamtaki. Pole mkuu!Gambo anaweza kuwa mnafiki kumzidi Mlezi wa wadudu 😁 😁 😁
Kigamboni hawakuwa wajinga
Gambo hafaiGambo anaweza kuwa mnafiki kumzidi Mlezi wa wadudu 😁 😁 😁
Kigamboni hawakuwa wajinga
Chadema watapewa Mbeya mjini, Chaumma wamepewa Tarime mjini na ACT wazalendo wamepewa Pemba 😁✔️
Kijana wa Kikwete huyu, hakuna kinachoshindikana Tz kwa Kikwete.View attachment 3382332
Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu anapigiwa debe na WADUDU
View attachment 3382332
Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu anapigiwa debe na WADUDU
Umesema kweli mkuuShida CCM sio kwamba walitunyima Maarifa,but hata wao hawana Maarifa,kwa taste ya Watu wa Kaskazini,ile love waliyonayo na kwao,kuokoteza Mtu tu toka mikoa mingine na kumpeleka huko,ni suruhisho la muda mfupi! Iko wazi kuanzia ndani ya CCM kwenyewe hawata mpa ushirikiano ! Anaeeza
Arusha ni Lazima tumchague Paul Makonda.... kwa hiyo ulitaka tumchague Gambo?View attachment 3382332
Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu anapigiwa debe na WADUDU
Noma sana mkuuHana. sisi wana Arusha hatutaki hata kumuona, tena tuu hiyo kutenguliwanjana tunafanya sherehe this Saturday
Mie naweka $100,000.00 mezani akipitishwa kugombea
Tour operators wa Arusha na Karatu hatutaki hata kumsikia
Chawa ni mama yako aliyekuzaa! Mbwa mkubwa.Chawa la Bashite hilo limejitokeza