Arusha kuweni serious suala la Mbunge ajaye

Arusha kuweni serious suala la Mbunge ajaye

Kule hatoboi kama Lema akisimamisha mji mbona ata aje makala hatoboi kule hakuna ata mwenye time na hao wadudu ni yeye aliwabrand tu hakua mikoa iko serious kama mikoa iliyoko na wachaga wanajielewa sana baada ya wachaga wanafuata wakinga wengine muuliwe tu sijui vichwa vina uji
Mchaga
Mkurya
Muha
Mkinga
Maasai
Mpemba
Hawa ndio watu wanajielewa linapokuja swala la kudai haki
 
Wewe unawachukulia poa wahuni? Wahuni ni watu wa maana sana kwenye jamii yoyote mkuu, usiwachukulie poa. Ni wapiga KURA pia
 
Hana. sisi wana Arusha hatutaki hata kumuona, tena tuu hiyo kutenguliwanjana tunafanya sherehe this Saturday

Mie naweka $100,000.00 mezani akipitishwa kugombea

Tour operators wa Arusha na Karatu hatutaki hata kumsikia
Haahaa labda mkalie kwa Samia🤣🤣
 
Kama ni mfumo unamtaka hakuna wa kupinga,,,, ! Wajumbe wanaweza kumchagua mtu wao jina likakatwa ! Tukiondoa jeuri na umimi bado makonda ni miongoni mwa viongozi wazuri sana kuliko vilaza wengi pale mjengoni
 
Ila tuache utani...pamoja namapungufu yake aliyonayo Makonda ni Bonge la Kiongozi aisee..
 
Makonda amehakikishiwa na rais kuwa wana Arusha watake wasitake Makonda ndiye mbuge wao.
 
Kule hatoboi kama Lema akisimamisha mji mbona ata aje makala hatoboi kule hakuna ata mwenye time na hao wadudu ni yeye aliwabrand tu hakua mikoa iko serious kama mikoa iliyoko na wachaga wanajielewa sana baada ya wachaga wanafuata wakinga wengine muuliwe tu sijui vichwa vina uji
Arusha mjini hawajawahi kuwa serious. Mwaka 1995 Makongoro Nyerere na uchakaramu wake alishinda ubunge kupitia NCCR. Majimbo hatari kwa kanda ya kaskazini ni Karatu na Moshi mjini. Majimbo mengine wana misimamo ya wastani... Karatu na Moshi mjini ndo wana upinzani sana.
 
Back
Top Bottom