ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,487
- 88,627
Maigizo ya kitotoView attachment 3382332
Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu anapigiwa debe na WADUDU