Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Mkuu Arusha Ni padogo sana japo ni kuzuri
Ni padogo tofauti na miji mingine mashuhuri hapa Tz...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulianza pamejibana saivi Unasema ni padogo hivi ulishafika Kisongo, Sakina, Ngaramtoni, Engle Sheraton, Moshono, Njiro, Muriet, USA River? watu wengi Arusha wanapita tu wala hawajawahi kutembea zaidi ya stand na Arusha to Moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikusahihishe kidogo kipengele cha 5,
Hifadhi ya Serengeti iko Mkoani Mara. Pia Kuhusu Arusha 85% ya kina Mama ndio wajasiliamali, wafanyabiashara wanaoleta kipato kwa familia, kina Baba ni kulewa na Starehe.
Ukianza na masoko kama Soko kuu, kilombero, samunge, Kijenge na Masoko kama Tengeru, Maji ya chai Usa river na hata wachoma mahindi na wauza mbogamboga, wauza mitumba ni kina Mama walio wengi. Kina Mama hawa ni mfano wa kuigwa katika ustawi wa Familia pamoja na Nchi kwa ujumla.
 
Kisongo kukoje au nimuulize Lema?

Sent using Jamii Forums mobile app
65ebc02dfe759f325735af56455fc1ee.jpg
e8cb396d4a1b3d897c555618d2bad599.jpg
3120732973c67cd35507acf6d9530486.jpg
afd41a080cba55d86bda0c6e385cfe2b.jpg
92396d38d85402c3221f530607764879.jpg
hiyo ndio Kisongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikusahihishe kidogo kipengele cha 5,
Hifadhi ya Serengeti iko Mkoani Mara. Pia Kuhusu Arusha 85% ya kina Mama ndio wajasiliamali, wafanyabiashara wanaoleta kipato kwa familia, kina Baba ni kulewa na Starehe.
Ukianza na masoko kama Soko kuu, kilombero, samunge, Kijenge na Masoko kama Tengeru, Maji ya chai Usa river na hata wachoma mahindi na wauza mbogamboga, wauza mitumba ni kina Mama walio wengi. Kina Mama hawa ni mfano wa kuigwa katika ustawi wa Familia pamoja na Nchi kwa ujumla.
Hizo ni biashara ndogondogo biashara xinazoipaisha arusha ni utalii, mawe,.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni biashara ndogondogo biashara xinazoipaisha arusha ni utalii, mawe,.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya Tafiti, miji ya Morombo, maji ya chai, Duka bovu, kisongo ni Biashara unazoita ndogo zimepaisha miji hiyo, Hayo Mawe (madini) yalikuwepo hata data zake kiuchumi si sahihi ndio maana hata Biashara yake ni ujanja ujanja tu (mfukoni) hakuna ofisi rasmi ni chache sana halali.
 
Ma
Ulianza pamejibana saivi Unasema ni padogo hivi ulishafika Kisongo, Sakina, Ngaramtoni, Engle Sheraton, Moshono, Njiro, Muriet, USA River? watu wengi Arusha wanapita tu wala hawajawahi kutembea zaidi ya stand na Arusha to Moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Maeneo uliyotaja hapo yaliyopimwa ni Njiro, Burka, sakina kidogo na Usa river kidogo Yaliyobaki hayana miundombinu rafiki, ni ujenzi holela kwa kwenda mbele mfano, pita ilboru, mianzini kijenge, moshono na hii ni kutokana na wenyeji kuuza maeneo bila kuacha hata njia za kupita ambazo utalazimika kununua kipande kingine iwapo utahitaji barabara
 
Fanya Tafiti, miji ya Morombo, maji ya chai, Duka bovu, kisongo ni Biashara unazoita ndogo zimepaisha miji hiyo, Hayo Mawe (madini) yalikuwepo hata data zake kiuchumi si sahihi ndio maana hata Biashara yake ni ujanja ujanja tu (mfukoni) hakuna ofisi rasmi ni chache sana halali.
We arusha ulikuja juzi nini?
Unaongelea mawe hajachangia ukuaji wa Chugga?

We utakua umekuja arusha enzi ya tanzaniteone aisee embu usaidiwe kuoneshwa hizo magorofa karibia yote hapo town ni mawe imelala hapo chalii enzi hizo hakunaga mkoa wa manyara mbuguni ilikua ni arusha xlr na ndula moja refu tayari upo chumbani unatusua ulanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujui chochote kuhusu Arusha ..kwanza ujawahi hata fika chuga wewe .. unasema chuga padogo??? Hahah uuuwiii

Siku ukija A town nambie nikutembeze ...utazunguka siku nzima na uhakika ni kwamba hutaimaliza.

Ova!

Sent using Jamii Forums mobile app
We Chalii soro kweli, nimeishi Arusha miaka zaidi ya ishirini
Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli mkiambiwa mnaleta akili kama mmebwia geji
Sasa niambie Arusha utaifananisha na Mwanza kwa ukubwa wa mji? Hata kwa Dodoma haifiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya Tafiti, miji ya Morombo, maji ya chai, Duka bovu, kisongo ni Biashara unazoita ndogo zimepaisha miji hiyo, Hayo Mawe (madini) yalikuwepo hata data zake kiuchumi si sahihi ndio maana hata Biashara yake ni ujanja ujanja tu (mfukoni) hakuna ofisi rasmi ni chache sana halali.
Nenda St. Thomas pale ndio utaelewa mawe nini Chugga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom