Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Inaitwa b & five m hotel Nasikia ilikua ni ya diwani mmoja wa CCM awamu iliyopita alikua anashindana na marehemu erasto kwenye kuotesha magorofa pande hizo
images
images
 
Subirini INTERNATIONAL AIRPORT ikamilike MWANZA kama ARUSHA mtaona mtalii hata mmoja
Dude kama EMARATES AIRLINE au BRITISH AIRWAYS ije direct MWANZA!!!
Hapo maumivu mtayaona kwasabb frm mwanza to serengeti ni Km 105
Frm ARUSHA to Serengeti Km zaidi ya mia3
 
Ndiyo mji pekee ambao watu wake wana roho mbaya sana na huwa hawajishauri kuua.
Ndiyo mji pekee ambao una majambazi wengi sana.
Ndiyo mji pekee wenye wanaume wasiojua mapenzi.
Ndiyo mji pekee wenye hoteli za levelbya kati ambao vyumba vyote vinanuka harufu sijui ya nini.
 
Subirini INTERNATIONAL AIRPORT ikamilike MWANZA kama ARUSHA mtaona mtalii hata mmoja
Dude kama EMARATES AIRLINE au BRITISH AIRWAYS ije direct MWANZA!!!
Hapo maumivu mtayaona kwasabb frm mwanza to serengeti ni Km 105
Frm ARUSHA to Serengeti Km zaidi ya mia3
Tatizo sio uwanja kuna je kuna facilities za kutosha? Kuna mahoteli? Kuna kampuni za utalii? Arusha kuna hotel nyingi, farm rest houses zakutosha kiasi kwamba itachukua almost 5 years Mwanza kuwa na facilities hizo.
Pia usfkiri watalii wanakuja Tanzania kwenda Serengeti tu, kwa taarifa yako Ngorongoro Crater ndo inapata wageni wengi na ni karibu na Arusha. Mgeni akianzia Arusha atapata nafasi ya kutembelea Ngorongoro, Tarangire, Manyara Arusha National Park, Mt Meru, Kilinanjaro, na Oldonyo Lengai na vivutio vingi njiani hadi kufika Serengeti kwa hiyo kufkiria uwanja wa ndege Mwanza utapunguza wageni Arusha ni ndoto. Hapo sijaongelea sababu za kijamii mfano pia kuna wazungu wengi ambao ni wakazi wa Arusha ambao pia huvuta wageni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu punguza Povu
Hoteli zilizopo mwanza!!!anyway sikulaumu kwasbb ww ukisafiri saaana unaishia Makuyuni
Pato kubwa la mahoteli unayosifia ww inatokana na hao hao wataliii
Cha kushangaza unajijibu ati arusha haitegemei watalii izo hoteli na rest houses mtalala nyie au
THE BIGGEST NATIONAL PARK IN THE WORLD ni SERENGETI zama Google utaona hio creater manyara ni chachu na changamoto kuipa SERENGETI
Nakukumbusha kua MWANZA IS DA SECOND CITY IN TANZANIA
 
Unafkiria hotel nazongumzia ni hizo za mjini au unazozijua? ? Nmefanya kazi kama dereva guide kwa zaidi ya miaka kumi na tano najua nnachosema. ... na package nyingi zinauzwa ni Serengeti via Tarangire, Ngorongoro, Manyara, Serengeti then Zanzibar na nyingine znaanzia Kilinanjaro by any means huwez kuavoid kuanzia Arusha.
Kwa taarifa yako sijaongelea ukubwa naongela "most visited park" dereva guide zaidi ya miaka 15 niwe nmeishia Makuyuni kweli? ? Sijui ni tourist attraction gani Tanzania sijafika siko locally kama wewe..... stop imaginations and hallucinations

Tatizo la kuzoea kunya ziwani linaathiri ubongo sana
 
Kumbe flycatcher
Ndio maaana povu kibao
 
Wee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
Yaani sijaona watu wajinga kama vijana bavicha kasikazini hasa arusha namshukuru Mungu nchi hii haikuchukuliwa na chama cha machame mnapenda sifa za kijinga watoto wana afadhari , hivi Arusha ipo wapi kama si Tanzania? Yaani wewe una mdharau mtu anayekula ugali wa dona na samaki au maziwa mgando una mdharau mtu aliye na mkokoteni wa punda unajiona wa maana kuendesha BMW unajiona wa maana kuwa na pitch ya long tennis badala ya shamba la pamba hakika ninyi ni majuha Mungu aendelee kupishia mbali nchi hii isije chukuliwa na wauza unga kalaga baho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada nyingine ziwe na tija basi

Mi naona umekaa kiushindani zaidi

Baada ya hii inaonekana utatuletea na mbwembwe za wilaya uliopo na yenyewe ulete hapa ufananishe na wilaya nyingine zote za Tanzania na za Arusha zilizobaki zikiwemo

Kwaheri Chaliiiii
 
chalii wa kijenge ya juu,kimandolu ,kitenge kati,bonden baa, kijenge chini hamjambo.
 
Tatizo la kuzoea kunya ziwani linaathiri ubongo sana

Bora kunya ziwani utajitawaza kuliko nyie huko mnajifanya kuiga wazungu nakufuga rasta hadi mavuzi rasta kisa eti mtalii anipende mnakua watumwa
Kisa dola 10 au20
Fanyeni kazi sio baada ya msimu wa utalii kuisha mnaweka vjiwe kwa mromboo nakuchangia figo ya mbuzi mtu tatu
 
Kwa sie tuliozaliwa katikati ya nchi na maisha yetu tukafanyia Dar, kiukweli Mara ya kwanza kwenda A town nilijihisi kama sipo Tanzania , maana si tu misemo na matamshi yao yalikuwa yananitatanisha pia hali ya hewa kwa majira hayo niliokuwepo vilikuwa ni vitu vipya kidogo kwangu

Kiukweli kwa Arusha inatakiwa iwekewe mkazo sana hasa ikiwa ni mji unaopokea wageni wengi na hasa miundombinu ya barabara na huu mji hautakiwi kuendeshwa kwa hisia za siasa, unatakiwa kupata watu ambao wana vision katika masuala ya uchumi na 'customers care'
 
Kwa sie tulioziwa katikati ya nchi na maisha yetu tukafanyia Dar, kiukweli Mara ya kwanza kwenda A town nilijihisi kama sipo Tanzania , maana si tu misemo na matamshi yao yalikuwa yananitatanisha pia hali ya hewa kwa majira hayo niliokuwepo vilikuwa ni vitu vipya kidogo kwangu

Kiukweli kwa Arusha inatakiwa iwekewe mkazo sana hasa ikiwa ni mji unaopokea wageni wengi na hasa miundombinu ya barabara na huu mji hautakiwi kuendeshwa kwa hisia za siasa, unatakiwa kupata watu ambao wana 'vision'katika masuala ya uchumi na 'customers care'
 
Yaani sijaona watu wajinga kama vijana bavicha kasikazini hasa arusha namshukuru Mungu nchi hii haikuchukuliwa na chama cha machame mnapenda sifa za kijinga watoto wana afadhari , hivi Arusha ipo wapi kama si Tanzania? Yaani wewe una mdharau mtu anayekula ugali wa dona na samaki au maziwa mgando una mdharau mtu aliye na mkokoteni wa punda unajiona wa maana kuendesha BMW unajiona wa maana kuwa na pitch ya long tennis badala ya shamba la pamba hakika ninyi ni majuha Mungu aendelee kupishia mbali nchi hii isije chukuliwa na wauza unga kalaga baho

Sent using Jamii Forums mobile app
Povuu....eti Bavicha, sifia hizo pamba na mbuzi zenu hujanyimwa, labda italeta furaha kidogo kwenye hayo maisha
 
Back
Top Bottom