Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

barabara ipo katika hatua za mwisho kabsa
SAM_5323.JPG
SAM_4339.JPG
SAM_4341.JPG
SAM_4344.JPG
SAM_5316.JPG
SAM_4345.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
Sure bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha kiukweli Ni pazuri
Tatizo lake mjini pamejibana sana yaani kamji Ni kadogo mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani umejibana kama unavyosema, check city ilivyo uniambie kama pangepatikana miti city center
72db234cb0ff3f51d37ec68ec0be5249.jpg
9af7f59f40df425226646b852a13cc8f.jpg
769c8bfbe6639974ac8d80c2459fcd29.jpg
labda kujibana sifahamu maana yake lakini usingeona hiyo greenish kama pangetight kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Arusha Ni padogo sana japo ni kuzuri
Ni padogo tofauti na miji mingine mashuhuri hapa Tz...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujui chochote kuhusu Arusha ..kwanza ujawahi hata fika chuga wewe .. unasema chuga padogo??? Hahah uuuwiii

Siku ukija A town nambie nikutembeze ...utazunguka siku nzima na uhakika ni kwamba hutaimaliza.

Ova!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom