Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Ni napakubali kwa totoz jaman,dah asilimia kubwa ya totoz za arusha ni kali mno.mambo mengine ni over-rated, arusha unavyoisikia na ukienda mwenyewe ni vitu viwili tofauti.
 
Hivi kwa nini watu wa kaskazini wanaonewa sana mara wanyimwe kuteuliwa kwenye nafasi serikalini mara wanyimwe miradi ya Maendeleo, mara wabaguzi, waache ni watanzania kama watanzania wengine kutoka kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini na kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subirini INTERNATIONAL AIRPORT ikamilike MWANZA kama ARUSHA mtaona mtalii hata mmoja
Dude kama EMARATES AIRLINE au BRITISH AIRWAYS ije direct MWANZA!!!
Hapo maumivu mtayaona kwasabb frm mwanza to serengeti ni Km 105
Frm ARUSHA to Serengeti Km zaidi ya mia3
Kama hamjui Serengeti pia ipo Arusha pole, ni kwamba Serengeti ipo Arusha, Mara na Simiyu na kabla ya Serengeti mgeni anaanza na Arusha National Park yenye crater na kila aina ya wanyama, anakuja Lake Manyara National Park, Ngorongoro Conservation Area zote hizi zipo Arusha kisha anangia Serengeti,

Ngorongoro na Serengeti ni kama mbuga moja sababu ni ndani ya Ngorongoro humo ndani unalikuta gate la Serengeti,

Wageni wengi wanaoenda Serengeti pekee bila kupita Ngorongoro wanatumia usafiri wa ndege ndogo ambazo wanapakia Arusha Airport Kisongo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo mji pekee ambao watu wake wana roho mbaya sana na huwa hawajishauri kuua.
Ndiyo mji pekee ambao una majambazi wengi sana.
Ndiyo mji pekee wenye wanaume wasiojua mapenzi.
Ndiyo mji pekee wenye hoteli za levelbya kati ambao vyumba vyote vinanuka harufu sijui ya nini.
Kwani wewe unajihusisha na biashara ya ukahaba?

Nimekuuliza kutokana na
1.guesthouse chafu
2.wanaume hawajui mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu punguza Povu
Hoteli zilizopo mwanza!!!anyway sikulaumu kwasbb ww ukisafiri saaana unaishia Makuyuni
Pato kubwa la mahoteli unayosifia ww inatokana na hao hao wataliii
Cha kushangaza unajijibu ati arusha haitegemei watalii izo hoteli na rest houses mtalala nyie au
THE BIGGEST NATIONAL PARK IN THE WORLD ni SERENGETI zama Google utaona hio creater manyara ni chachu na changamoto kuipa SERENGETI
Nakukumbusha kua MWANZA IS DA SECOND CITY IN TANZANIA
Duh na Selous au Ruaha ni ya ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.

1. Dsm(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)


http://www.thecitizen.co.tz/News/Rev...z/-/index.html

Namba 1-6 hazina utalii kama unaosifiwa kuwepo kaskazini lakini cha ajabu gdp yao ndogo tu.......

Kweli ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi. Tangazeni utalii hili watu tuvutike kuja huko lakini msijisifie ujinga eti arusha sawa na geneva mara arusha haikutakiwa kuwa Tanzania, mara arusha wazungu wamejaa sana then what.....?????

Fanyeni kazi nyie waoza meno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi barabara huwa zinadumu miaka 25-20 halafu zinazidiwa.
I mean why not atleast Six lanes for at least 50years to come??
All in All Arusha ni mji mzuri aisee..
Mkuu hiyo Road ipo viwango vya kimataifa ni njia nne na njia sita at the same time
14370133_10209882005508219_1925080582840341442_n.jpg
146cd87c470bd85e94702ad1b580685b.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kunya ziwani utajitawaza kuliko nyie huko mnajifanya kuiga wazungu nakufuga rasta hadi mavuzi rasta kisa eti mtalii anipende mnakua watumwa
Kisa dola 10 au20
Fanyeni kazi sio baada ya msimu wa utalii kuisha mnaweka vjiwe kwa mromboo nakuchangia figo ya mbuzi mtu tatu
ur too cheap to insult,,,,feed ur self first to stimulate ur brain before giving out ur nonsense explanations about the geniva of Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kunya ziwani utajitawaza kuliko nyie huko mnajifanya kuiga wazungu nakufuga rasta hadi mavuzi rasta kisa eti mtalii anipende mnakua watumwa
Kisa dola 10 au20
Fanyeni kazi sio baada ya msimu wa utalii kuisha mnaweka vjiwe kwa mromboo nakuchangia figo ya mbuzi mtu tatu
Daah pipo za chuga tunachukiwa sana aise. Sjajua ni kwanin ani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom