mchome jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 599
- 748
Uongo upi tena...hapo kwa sasa panaonekan hivi...!Acha uongo wewee
Uongo upi tena...hapo kwa sasa panaonekan hivi...!Acha uongo wewee
...hiyo picha no.2 umetuchomekea n'jomba huo si uwanja wa taifa turudishie chenji zetu ebo!!Dar es salaam.
Welcome friends from arusha village
Mkuu miaka ya 50 mpaka 80 Arusha town ilikuwa na maendeleo makubwa yenye miundombinu yenye hadhi ya kimataifa, tatizo wanasiasa walikuja kuidumaza.Hakuna mji wa Tanzania uliwahi kuwa hivyo, Maisha!!!!
Kwelii ni longiii laanaa ..palikuwa pazuri sanaa aseeeArusha ya 50s hiyo![]()
![]()
Arusha ndo sehemu pekee alipotokea nabii fake hadi mh Mkuu wa kaya alienda kunywa kikombe cha babu
Home sweet home.Master nilishafika huko Momela majumba ni ya hatari alafu watu wanasema Arusha palipojengwa ni njiro. USA River imejengwa sana nyumba zimeachiana nafasi kuubwa sio mbanano kama watu wanavyozoea
Na Arusha watu hawapendi kubanana kabisa alafu wanapenda garden hatari hasa Meru. Kuna jamaa tulikua tunasoma nae chuo kila weekend lazima aende home kwao ukimuuliza kufanyaje anasema kukatia fance na garden hahahahaa
Home sweet home.
Heri ya mwaka mpya hommies.
<iframe width="854" height="480" src="Arusha walivyoupokea mwaka mpya 2017 - YouTube" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
Karibu tena brother!Heri ya mwaka mpya...nilifurah sana ku spend holiday ndani ya arusha....now nsharud dsm..hope december Mungu akiniwezesha ntarud tena
Ubaguzi gani kwenye huu uzi arif?Hamna lolote ninyi ubaguzi unawasumbua huko kijijini arusha mnataka msambaze nchi nzima.
Lazima tuwapige vita.
Acheni huo ushamba
Unachuki mbaya sana aisee...Washamba watupu ninyi vijana wa arusha.
Mnaishi maisha ya ajabu sana huko arusha kama digidigi kule arusha national park.
Hivi hamjui kwamba hata idadi ya watalii inapungua huko kijijini arusha sababu ya uhalifu hapo arusha., kutwa mmeweka masime viunoni mjini kama mnawinda porini.
Mmeshavimbiwa banana mnaanza kusumbua watu hapa JF.
Na wote mnaotete huu upuuzi ni malofa watupu mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia huo utoto wenu.
Arusha ni moja ya mikoa yenye njaa kila mwaka na serikali inaingia gharama kubwa kuwahudumia huko.
Tumieni huo mda kusaidia wenzenu kule maporini wanaoishi kama ngedere longido, makuyuni, karatu , loliondo n. k waepukane na mila za kipuzi na njaa sio mnakuja hapa mnatapika mamirungi na mabanana mliyovimbiwa
Tengeru hapo ukielekea town!![]()
![]()
hili kipande ni cha wap man