Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Huja

Hujasoma mpaka mwisho wewe,
Ila kasema kweli,we sema ya kwenu[/QUOT
Mdau,huu uzi ni mahususi kwa Arusha tu na mambo yake, hauhusiani na Kilimanjaro wala Manyara au sijui unapakana na wapi sijui la hasha,nilichokuwa namaanisha ni kwamba,mleta mada kama anavyoendelea kufanya hapa azungumzie mambo ya Arusha tu,bila kusema kwamba huu mkoa sijui umepakana na wapi au upo karibu na mbuga gani sijui ambayo haipo mkoani Arusha,nilichokua namaanisha ni kwamba Arusha ijitegemee kwa sifa zake bila kutaja sifa za mkoa au wilaya ya jirani ndio iwe kama sifa ya mkoa wa Arusha.
Sasa aliposema SENAPA ipo jirani na Arusha au ukitaka kwenda huko unaanzia Arusha ni sawa kabisa,lakini je?hii nayo inahusiana vipi na mkoa wa Arusha? ilihali hii ni njia tu kama zilivyo njia zingine.Japo hili nilishalitolea ufafanuzi katika nyuzi zilizopita,nafikiri utakua umenielewa ninamaanisha nini.
 
My Home town...Chuga Mokoo, Mababa yeyoo na Mama Yeyoo Juuu....Ila lema tu ndio ana/ameharibu kabisa sifa ya mji wetu pendwa. Nikikumbuka mabomu ya soweto natamani haki itendeke.
 
kama kila mtanzania angejivunia tanzania yetu kama huyu jamaa, kama kila mTanzania angejivunia bidhaa za Tanzania kama huyu jamaa leo tungekuwa mbali sana. TUONDOKANE na ULIMBUKEN wa kudhani vya wengine ndio Vizuri
Tatizo letu sisi wa_tz tuna ubinafsi kuliko ubinfsi ulivyo, hatuna uzalendo na nchi yetu kama wenzetu wakenya. Tuamke watanzania, ifike mahali ujivunie kuzaliwa Tanzania
 
Kijenge RoundAbout

6651818985_a44dea5e87_b.jpg

aru.jpg
Umenikumbusha mbali sana#arachuga#niaje#watengwarecord
 
Ila kwa kweli arusha pazuri.ile hali ya hewa ni nzuri sana.a healthy climatic condition
Ukweli kwa mara ya kwanza nakuja dar, na hali ya hewa ya joto nilipachukia sana. Basi kwa sababu dar kuna fursa nyingi ilibidi nivumilie
 
Mji msafi utafikiri ni ulaya. Hivi huko kaskazini mnafanyaje kuhusu usafi? Maana dalisalama kila jumamosi ni usafi lakini bado kunanuka na uchafu kila dakika. Yaani ukweli tunahitaji tukajifunze huku kwa wenzetu.
 
Acheni vigoma na vigodoro.
 
Watu wa kaskazin asilimia kubwa wamestaarabika ndio maana usafi umewezekan...!
 
Acheni vigoma na vigodoro.
Asante mkuu yaaani DSM inatia aibua kabisa. Barabara za lami ni vumbi tu sasa nikiangalia hizi za Arusha mpaka utafikiri uko ulaya gani sijui vile au akama hazikanyagwi. Watu wanakimbizana na vitu nato material kabisa wanaacha mambo ya msingi. Jiji linakuwa chafu utafikiri nyumba ya nguruwe. Tena nguruwe ni wasafi pale mwenye kuwatunza anazingatia usafi.
 
Kiongozi unasema kweli tupu kabisa Dar kuna pesa lakini uchafu ni kama jadi wengi Wa wakazi wake uchafu kwao ndio lifestyle yao.
 
Shopping mall Arusha zipo nne takwimu za afisa Habari wa jiji
 
Town panabadilika daily yan...miaka michache ijayo arusha itakua ni habari nyingne..!View attachment 421260
Mkuu kweli kabisa naona nikirudisha majeshi yangu rasmi arusha tena naweza kumuhitaji guide sababu naona kila siku mambo mapya nipo nje ya arusha kama mwaka nategemea kurudi mwezi ujao kuna mambo mengi sana yamebadilika arusha mpaka nachemka magorofa ni mengi yamejengwa arusha kwa muda mfupi mpaka nashangaa.
 
Mchome Jr siko A town toka mwaka Jana mambo yamenibana Nipamis kwangu R chugga sana. Vp Man nliacha barabara ya tengeru hadi namanga ishaanza hebu tupeni update za kinacheendelea na picha kidogo maana kutakuwa ni hatari.
 
Mkuu kumbe tupo wengi nasikia ile road ya arusha holili imeshawekewa double road ni mtindo wa nusu saa upo himo sababu hakuna jam tena ikikamilika.
 
Back
Top Bottom