Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Mkuu kumbe tupo wengi nasikia ile road ya arusha holili imeshawekewa double road ni mtindo wa nusu saa upo himo sababu hakuna jam tena ikikamilika.
dah alooh nasikia kule ni shida mkuu Maana nliwaacha wanatengeneza daraja la nduruma pale na sehem baadhi walikuwa washaanza chimba barabara. Hasason town mule ndo usiseme viberiti vinapanda kama uyoga mkuu.
 
Mkuu kweli kabisa naona nikirudisha majeshi yangu rasmi arusha tena naweza kumuhitaji guide sababu naona kila siku mambo mapya nipo nje ya arusha kama mwaka nategemea kurudi mwezi ujao kuna mambo mengi sana yamebadilika arusha mpaka nachemka magorofa ni mengi yamejengwa arusha kwa muda mfupi mpaka nashangaa.
Nadhani tatizo lako ni umri au ni ushamba
 
dah alooh nasikia kule ni shida mkuu Maana nliwaacha wanatengeneza daraja la nduruma pale na sehem baadhi walikuwa washaanza chimba barabara. Hasason town mule ndo usiseme viberiti vinapanda kama uyoga mkuu.
Kwelii juzi nilikua nakodolea macho itv nikaona kipindi cha nhc wanaielezea Safari city napo naona patabadili kabisa jiji yule CEO wa nhc anasema Arusha itaipiku Nairobi sababu ndio wanaendana nilimuelewa sana nikipata video clip yake nitaiweka hapa sababu waliichambua sana Arusha na Safari city project.
 
utafanya la jambo muhimu ukiipata na kuiweka hapa mkuu. Hope kitaeleweka tuu man.
 
hili kipande ni cha wap man
hiyo itakua ni tengeru au kwa mrefu ndio mana nikasema nitahitaji guide unaweza ukaikana Arusha sasa mimi niliondoka hata yale majengo ya kijenge corridor hayajajengwa hizi dable road ndio zitanitoa tongotongo kabisa
 
kumbe aisee kumbe wew umepatoka mda Mimi hizo shamra za town kubadilika kwa kiasi kikubwa ilinipa hamasa sana na kuuona sasa mji unaendana na kazi yake ya ukuaji. Town sasa ivi hawataki nyumba za chini mkuu.
 
Man nilitoka mda sipati picture ile hotel ya Hyatt pale sabasaba opposite na Gymcana golf course itakua imefikia wapi sababu niliiacha wanafunga tower crane
 
Arusha miaka ya 1950 mikoa mingine hata supermarket hawajaota.......

b00598-p04645.jpg

b00598-p04646.jpg

b00598-p04653.jpg

b00598-p04652.jpg
Acha uongo wewee
 
Dah unapajua clock tower Arusha. Na Safari hotel arusha?

Mbona hata hapajabadilika ukilinganisha na hizo pix?
Na hizo gari huoni hata aibu mzee, at least ningeona ma landrover 109,range rover, nissan patrol au landcruiser na gari zingine za mjepu ningekuelewa. Mchanganyiko wa watu asiwepo black hata mmoja?
 
Hiyo ni film making behind the scenes nadhani hujawahi kufika Arusha. Sababu hayo majengo yapo mpaka saivi

Fuatilia hii Hatari - Wikipedia!

Arusha: Clock Tower
 
Niko moshi na naenda Arusha mara kibao tu. Useme labda sijatembelea hayo maeneo ulopiga picha. Sifa kubwa ya Arusha ni expensivity ya maeneo ya mjini. Ukishuka kuelekea chini kwa mromboo ndio at least unapumua.
 
Sasa umekubali kwamba hapo ni Arusha wala sijanganya.
 
Back
Top Bottom