Hahahahaa aise arif we ni kwere. Ameweka mautamu chalii nimemuelewa kinyamaa hii thread imekua kama lakuchumpa kwa foot. Yaan ni fulu mangeu kwa haters. They should get hanged hahahaaa.alafu mleta uzi kama nakusoma hivi dizain teh umeleta umang'aa wa kutosha
Kudadenga..maChalii wamewaeneka mnyukoo wa adabu. Mtu anakaa huko naiyele sijui kibamba alafu anatalk as if anaielewa chugga that's so creepy.nimependa vile amechambua tokea mwanzo kabla hajaanza kuwaeneka haters na mapicha ya adabu toka jiji teule A City kwani ni fact baada ya fact adi wachawi wamekubali dadeq. Sorry mkuu chongchung handset yangu inazingua kuquote nimekujibu kwa chini chalangu
Waambie hao wasifie Maswa na Ngara...Chuki zako kwa Arusha dhahiri kabisa..
Hivi kwenye huu uzi wewe kimekuchukiza kipi?? Tumekuombeni msifie mji wetu?? Tumesema wapi ni lazima nyie msifie mji wetu?? Ni vibaya sisi kuamua kusifia mji wetu?? Tumeomba wapi validation ya ninyi ku approve mji wetu ni mzuri kama tunavyousifia??
Naomba unijibu hayo maswali...
Fanyeni mbwembwe zenu ila mwisho wa siku Damsalam ndio kila kitu aarif
Unamaanisha nini? kwamba kulikuwa na koloni la meru, ebu tusaidie mkuu ilikuwa inatawaliwa na dola ipi.Kabla Nyerere hajaenda UN tayari Wameru kutoka Arusha walishaenda kudai uhuru wao!!
Unamfahamu Japhet Kiliro ?? Pitia historia ya Tanzania! Utakuta habari hii Alienda kuomba uhuru wa Wameru UNO... Lingine ni kuwa Wameru walifungua kesi Queens Bench kudai ardhi yao kesi hii maarufu inaitwa "Meru Land case"Unamaanisha nini? kwamba kulikuwa na koloni la meru, ebu tusaidie mkuu ilikuwa inatawaliwa na dola ipi.
Man hii ni fact kubwa sana na sijui niliisahau vipi ila nimeipandisha tayari..... KudosUnamfahamu Japhet Kiliro ?? Pitia historia ya Tanzania! Utakuta habari hii Alienda kuomba uhuru wa Wameru UNO... Lingine ni kuwa Wameru walifungua kesi Queens Bench kudai ardhi yao kesi hii maarufu inaitwa "Meru Land case"