Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Namba 11ni sahihi kabisa, Arusha maisha yapo juu kwa kweli.ila ukikaa na ukizoea utaona kawaida tu kwa kua kila kitu kipo.
 
Haikua ligi man ,ilikua ni kutaka kueleweshwa vizuri sababu topic inauzungumzia mkoa wa Arusha so nilitegemea kitakachozungumziwa ni cha Arusha tu na si vinginevyo ni bahati mbaya mlidhani ninaleta ligi lakini mimi si mtu ligi ila ninapenda kueleshwa vizuri, kwani hilo la Serengeti kutokua mkoa wa Arusha lipo wazi,Serengeti ipo mkoa wa Mara na Mbunge wake alikua Dr Kebwe Steven Kebwe ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Morogoro,isipokua ni ukweli uliowazi kwamba Arusha ni mkoa unaonufaika kwa kiasi kikubwa kutokana na uwepo wa mbuga ya Serengeti hili sina ubishi kabisa,nilichokua nataka mimi kama unavyoendelea kuonesha maeneo mbalimbali ya Arusha na maendeleo yake na si kutaja maeneo yaliyo nje ya Arusha as a pride of Arusha, No hilo si sawa,wew endelea kuonyesha maeneo tofauti ya Arusha watu waone ,mimi siwezi kubisha au kuwa negative kuhusu Arusha kwa kuwa mimi ni mdau wa huo mkoa,nimeshaishi hapo na ninapapenda kutoka moyoni kwani hata unapoleta hizo picha zinazoonesha maeneo tofauti zinanikumbusha mbali sana na ninajisikia nostalgic,maeneo kama Mbauda,Sombetini,Kwa Mrombo,Ngaramtoni ,Mianzini,matejoo,Unga limited,Kijenge juu,Mwanama ,Moshono,Kwa Mrefu,Kwa iddy,Shamsi,Njiro kontena,Njiro Amani bar,Nanenane hasa kwa nick pub,Usa river,Leganga ,kikatiti,Kisongo,na maeneo haya maeneo hata nikiyataja najisikia raha so nilipozungumzia hayo haikua ligi wala sikuwa na hard feeling against my second town isipokua ukweli usemwe.
Em nisome fresh hapo man kama kuna problem yoote.


5. Una mbuga nyingi barani Africa, Hali ya hewa ni nzuri sana. Mbuga ya wanyama ya Serengeti na Ngorongoro,Ziwa Manyara, Olduvai Gorge, Arusha National Park,Tarangire na mlimaKilimanjaro zipo ndani\karibu na mji huu.
 
HAPO NAMBA SABA MMH BROOO UMEDANGANYAA KUHUSU MADAWATI!!
Mkuu mim kusema ukweli mbele za mwenyezi mungu shule niliyo kuwa nasoma ni day nilikuwa sijui kama kuna shule zenye uhaba wa madawati wakati shuleni kwetu kulikuwa na maabara kubwa sana na maktaba kubwa sana na walimu wa tulikwepo nao wa kutosha na walimu waliobobea kwenye upande wa science hasa upande wa maabara headmaster sijui ilikuwa anatoa wapi hela ya kuwalipa alikuwa anawatoa nchini Kenya wanakuja kufundisha practical part time nakuondoka kenya kitu ambacho hamna mkoa wenye shule zinazo fanya hvi! Na shuleni kwetu kulikuwa na madawati zaidi ya elfu 5 yapo store hayatumiki yote mazima!!
 
Mkuu mim kusema ukweli mbele za mwenyezi mungu shule niliyo kuwa nasoma ni day nilikuwa sijui kama kuna shule zenye uhaba wa madawati wakati shuleni kwetu kulikuwa na maabara kubwa sana na maktaba kubwa sana na walimu wa tulikwepo nao wa kutosha na walimu waliobobea kwenye upande wa science hasa upande wa maabara headmaster sijui ilikuwa anatoa wapi hela ya kuwalipa alikuwa anawatoa nchini Kenya wanakuja kufundisha practical part time nakuondoka kenya kitu ambacho hamna mkoa wenye shule zinazo fanya hvi! Na shuleni kwetu kulikuwa na madawati zaidi ya elfu 5 yapo store hayatumiki yote mazima!!
Tell dem...
Watu hawajui tufauti ya jiji na mkoa. Hapo kwenye dawati nimeelezea jiji la Arusha
 
Arusha National Park.....

Arusha-National-Park.jpg


arusha-national-park123456.jpg


img_0366-001.jpg


kz4a0472_0.jpg


DSC_0176.jpg


Gallery-image-Day-2-Tanzania-elephant-behind-vehicle.jpg


wengi hawajui kama Arusha pia ina mbuga kubwa nimekuja kujua hili baada ya kusoma comments za watu wanasema Arusha itakufa Mwanza wakiimarisha Airport na mahotel yao wageni wapitie Mwanza to Serengeti....... hawajui hata Ngorongoro ipo Arusha.
 
Hebu wawekee na picha za African court of human rights!! Waone na wajiulize kwa nini projects ka hizi hazipelekwi kwao!!
Arusha ni headquarters za ESAMI, EAC, PAPU( Pan African Postal Union), African Court of Human rights
PAPU wanaanza ujenzi wa jengo lao la ghorofa 12 rasmi. .
 
Back
Top Bottom