Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Mkuu kuna hotel moja ipo huko mitaa ya kisongo,mbele ya Burka(nafikiri opposite na uwanja wa ndege),kuna hotel moja jina lake limenitoka hata timu ya simba waliwahi kwenda kuweka kambi kwa wiki mbili hivi.Nasikia imetulia laana..Ukifika ni kama mbele mazima,yaani ni fulu! Tanzania mzima hamna!Hebu fanya mishe uweke picha zake hapa watu wapagawe...
 
Mkuu hiyo labda ni TGT ndani ya burka, hapo ni ulaya ndani ya tz, kama sio member unatakiwa kulipia sio chini ya 10,000 getini ndipo utinge ndani, na unaweza kujikuta uko mwenyewe ngozi ya kiafrica, pametulia hakuna mfano
 
Real Estate in Arusha is next level jooh

803725150_zps8d3d2dc5.jpg

476092066_zpsddceac00.jpg
Hostel za wapi hizi
 
Natamani sana hio siku nasikia maishani kuna watu wameshikwa wanazamia tz kwenda kula raha maeneo ya mbele chugga&mo town either .mbeya mwanza ama DSM ila sana sana chugga baby tz vitakuja kuwa tamu sana Africa hamna tungepata viongozi usio wa kisoro toka long time tushaanzaga kula baga man
 
Tayari NHC washaanza.. Viwanja vilishapimwa.. Umeme na maji kwa ajili ya kusupport ujenzi vimeshafikishwa..
Dah BG up sana. Sema Serikali yetu ililala sana mikoa kama Arusha, Kilimanjaro, mbeya, mwanza,Dodoma.
Ingetakiwa iweimepimwa na kupewa kipaumbele cha city plan kwa vitendo toka mda tungekuwa mbali sana hata watalii kushuka Kenya hilo swala lisingekuwepo. Wajenge uwanja wa KIA kwa hadhi kubwa ukamilike waone hizo hotels na uyoga wa ghorofa zitakavyopanda hapo moshi. Maana moshi hotel za kitalii pale zimepoa sana sababu wageni wengi wanakuwaga chugga.
 
Arusha ni shamba, watu wanavuna wanakuja kutumia Dar.
Wanakuja huko kufanyaje tena. Man me nipo kwenye sector ya tourists na mambo ya acomodation mbona matajiri wa Dar na mawaziri ndio wateja wakubwa wa malodge ya Arusha usiongee vitu kwa ushabiki chalii.

Mtu anatoka kwenye weather condition ya Arusha then akarelax kwenye tanuruni huko Dar alafu mbona viwanja vikali vya Arusha vipo kwenye hii thread ianze mwanzo.
 
Fanyeni mbwembwe zenu ila mwisho wa siku Damsalam ndio kila kitu aarif
Mbona threader ameeleza wazi hataki mashindano. Mbona mnakua na kichwa ngumu sana kukubali Arusha without comparing with any kwanba inaeleweka.
 
Mkuu kuna hotel moja ipo huko mitaa ya kisongo,mbele ya Burka(nafikiri opposite na uwanja wa ndege),kuna hotel moja jina lake limenitoka hata timu ya simba waliwahi kwenda kuweka kambi kwa wiki mbili hivi.Nasikia imetulia laana..Ukifika ni kama mbele mazima,yaani ni fulu! Tanzania mzima hamna!Hebu fanya mishe uweke picha zake hapa watu wapagawe...
Yaani katika malodge na mahotel yaliyoko Arusha mleta mada ajayafikia hata nusu Arusha kwenye lodges na hotels apambane na Nairobi hapa bongo hamna.
 
Back
Top Bottom