sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,741
Watakwambia photo shopEAC HQ Arusha..
![]()
![]()

Watakwambia photo shopEAC HQ Arusha..
![]()
![]()

Part of Safari City hiyo... Vipi kule kwenu Rungwe miradi mikubwa ya matrillioni kama hii itaenda lini?? Lazima mpasuke ateri kwa chuki hahahahahahahaha.. Mind u, ujenzi umeshaanzaMmeshaanza kuchanganyikiwa na bado nawaandalia dozi kamili inachemka mda huu mpaka muache ninyi misukule ya arusha.
Ninyi vijana wa arusha si ridhiki kabisa, mnajipamba kama kwa maneno na vipicha vya mahotel ambayo mnayaona na kuyasikia tu.
Mnatia sana huruma kwa kujivunia vitu ambavyo haviwahusu na huo unaitwa utumwa wa mawazo.
Amkeni ninyi misukule ya arusha.
Vitu kama hizi ndizo zinafanya watu wanabwabwaja kwa wivu maana huko makwao havipo na havitakaa viwepoArusha Babyy #Hawatuweziiii
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu A City Jiji la matajiri hatunaga longolongo,,,,,,,,,,,,,,,,, estate kwa fasi ya Kisongo hapo sababu kuna duwanzi zinabwatukaga huku Arusha ni Njiro tu,, mtatukoma mwaka huu...
Arusha kuna misemo ambayo huwezi kuisikia popote Tz..na kama wewe ni mgeni utatoka kapa!!
Ungekuwa ni miji ya washamba mngeipigia Kura kwenye maajabu ya dunia?![]()
at the end you will kneel down there mkuu. HUKUNA NAMNA A town baby
![]()
Safari City... Ujenzi umeshaanza..
![]()
USA River Satellite City mambo yatakuwa hivi.. Je, kule kwenu Iyunga, Uyole kukoje?? Lazima mnune hahahahahahaha
![]()
Huwezi kuja Arusha ukiwa mlaini mzee kama wewe ni mikono soft usijichanganye kule. Kwanza kupanga geto likamilike kidogo yaani kiaina ama kama linataka kutokelezea kukamilika kuitwa geto/rough la msela pale andaa 2ml. Vinginevyo chugga kusikie ile ndo Luanda ya Tz
Unasifia sifa
Teh teh wakiona hivi wanakasirika sana
EAC HQ Arusha..
![]()
![]()
Akili yako na mwenye picha ni mulemule...Arusha baby!
Watakwambia photo shop![]()
Part of Safari City hiyo... Vipi kule kwenu Rungwe miradi mikubwa ya matrillioni kama hii itaenda lini?? Lazima mpasuke ateri kwa chuki hahahahahahahaha.. Mind u, ujenzi umeshaanza
![]()
![]()
![]()
Mimi ni mtanzania wala sina matatizo ya akili kama ninyi. sehem ya kusifia nitasifia kwa mustakabali wa nchi ya TZ na sehemu ya kuponda nitaponda kama hivi kwa mustakabali wa TZ.Mambo ya Safari City hayo... Wengine mambo kama haya yatafika mikoani kwao 2100.. Lazima wachukieee
![]()
![]()
![]()
![]()
hahahahaha man I love Arusha... We will make Northern Empire even strongerMkuu watu wapo hoi kinyama wakati bado hata hatujaingiza mahekalu ya chugga hahahahaa....
![]()
![]()
Vipi haters mmelala... hahahahaha
![]()
be cool this is Chuggaaaa
![]()
![]()
vitu vya mabillionare tunataka kuhamisha kiwanda cha viroba sababu kinazalilisha mji wetu........
Chuga a. k. a chura.hahahahaha man I love Arusha... We will make Northern Empire even stronger