Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_20240315_183313_WhatsApp.jpg
 
🤣🤣🤣 Sio kwa lengo baya bali ni katika kukumbushana tu maana binaadamu tumeumbiwa kusahau, miaka 8 iliyopita Bayern Munich ndie alie wafungisha virago kwenye michuano ya Uefa kwa fedheha ya kuwagonga goli 10.
 
Attachments

  • Tapatalk-Download1402410715Snapinsta.app_video_174481096_3455852364653488_8035923494859349397_n.mp4
    776 KB
game ya arsenal na bayern munich nasubiri kuona bookies odds zitavokuwa japo naona ni kama vile hakuna favourite kumzidi mwenzie hapo.
 
🤣🤣🤣 Sio kwa lengo baya bali ni katika kukumbushana tu maana binaadamu tumeumbiwa kusahau, miaka 8 iliyopita Bayern Munich ndie alie wafungisha virago kwenye michuano ya Uefa kwa fedheha ya kuwagonga goli 10.
Tunashukuru kwa taarifa mkuu...umeshashiba tambi unakuja kutufanyia Fujo sasa
 
Tunashukuru kwa taarifa mkuu...umeshashiba tambi unakuja kutufanyia Fujo sasa
Mkuu ni tambi na maharage mixer lile kombe kubwa la uji.
Ila kuweni makini ndugu zangu huyu Bayern akikufunga ni kama vile anakuachia na laana kabisa ya haya mashindano, ingawa kweli tembo yuko mtini ila hatutaki tuwakose kwenye hii michuano kwa miaka 8 tena mingine ijayo.
tapatalk_-1956244963_488x640.jpg
 
Tunatakiwa kulipa kisasi dhidi ya Barcelona siku ya fainali.

Naombea tukutane na Barcelona.

Uhuni walioufanya 2006, hatujausahau. Barcelona timu ya majizi sana.

Japo ili kufika hapo tutahitaji kupanda milima mirefu kwelikweli. Uzuri Arsenal hii inaweza kupambana na timu yoyote na ikapata matokeo.
 
Back
Top Bottom