Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,094
- 7,464
Our out of possession football is next to none, maybe the best in Europe, hii inatupa chance kubwa kuendelea mbele kwenye UEFA. Silaha yetu kubwa msimu huu ni uwezo wa kuzuia wapinzani wasifunge magoli, Out of possession (Arteta > el chollo). kipindi Arteta anachukua FA cup alipaki bus flani la kibabe dhidi ya Man city baada ya kuwalaza 2-0, basi Bayern wajiandae kuliona hilo basi 2nd leg baada ya kuwaua Emirates. Arteta namkubali cuz yupo flexible, anaweza kuwa Wenger na anaweza kuwa Moyes kwa wakati mmoja. Bayern ni timu yenye wachezaji wazuri na kocha mzuri, hivyo tujiandae kuiona vita. Football has it's warlike parallels. This is war.



