game ya arsenal na bayern munich nasubiri kuona bookies odds zitavokuwa japo naona ni kama vile hakuna favourite kumzidi mwenzie hapo.
game ya arsenal na bayern munich nasubiri kuona bookies odds zitavokuwa japo naona ni kama vile hakuna favourite kumzidi mwenzie hapo.
Mamelodi sio mtu mzuri kabisa🤓, Sema bahati ya fainali ndo huwa hanaNi kwel mpira unadunda lakini sio kwenye matopeView attachment 2935297
We kweli mwehu🤣🤓🤓, believe in arsenal bichwa neneView attachment 2935681
😂😂😂😂 mashabiki wa Arsenal mnajipa matumaini mkiangalia hii historia
I believe in Liverpool.We kweli mwehu🤣🤓🤓, believe in arsenal bichwa nene
Kukulism klop ndo yule ana timua🤣🤓, sijui mta fundishwa na mbuzi 🤣I believe in Liverpool.
YNWA
Tuna CEO ambaye ni Mastermind ana Akili kuliko Klopp na anajua mambo mengi uwe unapitia jukwaa la Liverpool huwa napost sana hizo habariKukulism klop ndo yule ana timua🤣🤓, sijui mta fundishwa na mbuzi 🤣
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu ni tambi na maharage mixer lile kombe kubwa la uji.Tunashukuru kwa taarifa mkuu...umeshashiba tambi unakuja kutufanyia Fujo sasa
Tumeshatoa Gundu AFLMamelodi sio mtu mzuri kabisa🤓, Sema bahati ya fainali ndo huwa hana
Sisi hatuna msalie mtume safari hii...tutawadunda kama Ngoma wale watu[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu ni tambi na maharage mixer lile kombe kubwa la uji.
Ila kuweni makini ndugu zangu huyu Bayern akikufunga ni kama vile anakuachia na laana kabisa ya haya mashindano, ingawa kweli tembo yuko mtini ila hatutaki tuwakose kwenye hii michuano kwa miaka 8 tena mingine ijayo. View attachment 2935704
Kwhyo Hawa wanaokuja hmu ndani kutupiga spana na kutuletea stats mara historia za Bayern tukicheza nao nao wapige kimya au...wacha watu waongee...wanaokandia wape nafasi...wanaopiga midomo kwmba tunapita nao waongee...ndo maana ya jukwaa huru...bila ya kukandiana ama kutamba hakutakuwa na maana ya haya majukwaa tenaPunguzeni midomo tusijikute kwamba aya mashindano tume dominate wakati tumekaa nje ya game muda mrefu, Tumueshimu aliye tutangulia.
Mnaboa