hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,519
Acha kuwapangia watu cha kuongea ,yaani unataka Arsenal fans watukanwe wadhalilishwe ,waitwe waitwavyo ,wakae kama kondooPunguzeni midomo tusijikute kwamba aya mashindano tume dominate wakati tumekaa nje ya game muda mrefu, Tumueshimu aliye tutangulia.
Mnaboa