Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bayern anacheza muda huu ,hamuiangalii halafu mtu anakuja kutupigia kelele humu


Defence Yao ni De Ligt na Dier
 
Hivi ni astonvilla au stock city aliyewahi kumpiga liverpool 7
Kuna muda nasahau
 
Unahangaika sana...wacha siku ifike tuwafumue halafu muanze kuja na slogan zenu kwmba Arsenal hamtachukua Champions league 🤠🤠🤠....maana naona mashabiki wa Manunu na Chelkenge mmeunda coalition moja matata sana...yaani pipa na mfuniko vimeungana Ili kutupigia kelele
NAwapa taarifa tu, si kwa ubaya. Bayern wamecheza leo, wamewatumia salamu.
 
Bayern kacheza na timu inashika mkia kashinda 5 karuhusu kufungwa goli 2.

Na timu inayoshika mkia.

Arsenal kacheza na timu inashika mkia kaifunga 6 bila kuruhusu goli.

Angalia vichwa vya kuku vinakuja kuandika nini.
 
Our out of possession football is next to none, maybe the best in Europe, hii inatupa chance kubwa kuendelea mbele kwenye UEFA. Silaha yetu kubwa msimu huu ni uwezo wa kuzuia wapinzani wasifunge magoli, Out of possession (Arteta > el chollo). kipindi Arteta anachukua FA cup alipaki bus flani la kibabe dhidi ya Man city baada ya kuwalaza 2-0, basi Bayern wajiandae kuliona hilo basi 2nd leg baada ya kuwaua Emirates. Arteta namkubali cuz yupo flexible, anaweza kuwa Wenger na anaweza kuwa Moyes kwa wakati mmoja. Bayern ni timu yenye wachezaji wazuri na kocha mzuri, hivyo tujiandae kuiona vita. Football has it's warlike parallels. This is war.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom