Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
OkHii siyo Arsenal ya kuweka akiba ya maneno. Kwanza hao mnaowaita magiant wenyewe wanatuogopa.
OkHii siyo Arsenal ya kuweka akiba ya maneno. Kwanza hao mnaowaita magiant wenyewe wanatuogopa.
F.A CupKwann game za Leo nyingi zimeahirishwa?
OkF.A Cup
Kisha unakiri kwamba huyo huyo Rice kwa nusu msimu amekuwa key player kwa Arsenal, we mwenyewe unajielewa?[emoji116][emoji116]Kudus amecheza westham nusu msimu lakini ameweka legacy kubwa kuliko kenge Declan Rice ambaye amekaa westham misimu kibao
Hivi nyie ndugu zangu akiumia Rice huko international duties si mtatafutana Huku
Hapa unamponda Rice na kumsifia Kudus![]()
![]()
Kisha unakiri kwamba huyo huyo Rice kwa nusu msimu amekuwa key player kwa Arsenal, we mwenyewe unajielewa?![]()
![]()
1. Yaani Rice ambaye akiwa captain wa Westham na kuwapatia their first ever Europian title hana legacy ila huyo Kudus kwa nusu msimu unasema kaweka legacy, unafahamu hata maana ya neno legacy?
2. Kati ya Arsenal na Westham ipi ni club kubwa? Kama Rice katoka Westham akawa key player Arsenal na huyu aliyetoka Ajax ambayo ni kubwa pia kuliko Westham akawa key player Westham (average club), yupi amepiga hatua zaidi ya mwenzie?
Mnafikiri kuna kina Burnley huko wakuwafunga tano?Arsenal tuna team ya kucompete na timu ya aina yeyote.
Hii sio kama timu ya kipindi kile, ikikutana na baadhi ya opponents unajua kabisa tunafungwa.
Kufungwa tunaweza kufungwa lakini siyo kirahisi kama kipindi cha mzee wnger, hata Barcelona ilikuwa inafungwa
Ili uwe bingwa..... inatakiwa uwafunge mabingwa..... upo?Arsenal haendi Popote...maana akijifanya mjuaji Nusu kule ana City au Madrid....hapo ndio nafurahi zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnafikiri kuna kina Burnley huko wakuwafunga tano?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nakuunga mkono hapo uliposema hili jukwaa linaonekana kama kijiwe cha kahawa.Ukiwajibu inabadilisha nini? Historia wanazo leta kwani ni za uongo?
Muheshimu aliye kutangulia kuna watu hapa wameisha anza kuongelea fainali kabisaa sasa huo si utoto inaonekana kama kijiwe cha kahawa humu.
Timu yetu ni bora ndio ila tuwe na akiba ya maneno.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Man Utd tulizigonga hizi Kima goli 8-2 halafu Bayern akazigonga goli 10-2 na kupelekea kufurushwa kwenye michuano ya Uefa kwa kipindi cha miaka 8.Heee kwahiyo Bayern ni 8 ya pili
Huyu huyu ndiyo size yetuAliesema tumpate Bayern tumempata.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli sasa hivi anauma tu vidole vyake, kila akikumbuka zile goli 10-2 roho yake inalipuka.@hamis7
Huyu huyu ndiyo size yetu
Kwa hiyo tujiondokee hapa hapa robo kuepusha fedheha? 😂😂Arsenal haendi Popote...maana akijifanya mjuaji Nusu kule ana City au Madrid....hapo ndio nafurahi zaidi 🤣🤣🤣
Hamna namna mpambane tu hamuwezi jua Nini kitatokeaKwa hiyo tujiondokee hapa hapa robo kuepusha fedheha? 😂😂
Huyo kocha wa Bayern kumbukumbu yangu inaniambia kapigwa nje ndani za kutosha kila akikutana na Arteta
Watatufaa hawa vijana.Arsenal tumpate Eze, Olise na Mbeumo
Angalia moto