Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

N hapo hatufanyi wala usajili tunamalizia msimu na akika Arshavin na Chamakh.

Arshavin, Chamakh, Rosicky, Diaby na Squallaci hawa watu wanajaza tu nafasi; wote ni wakuwaachia waondoke
Rosicky ni bora kuliko hizo chuya nyingine....Ni mzuri sana kwa kubadilisha mchezo,hata leo yeye ndio alibadilisha mchezo mara baada ya kuingia na kutoka Benayoun ambaye alipwaya kati..

Btw....Mwaka huu ubingwa unaweza kwenda White Hart Lane....
 
Swansea-v-Arsenal-Nathan-Dyer-pa_2702827.jpg

Swansea-v-Arsenal-Nathan-Dyer-pa2_2702828.jpg

haya bana michuzi wa JF sport
 
Loss at Swansea was Arsenal's 100th Premier League defeat under Arsene Wenger
 
Msikie huyu mshabiki wa Arsenal

Code:
Can we swap nationalities for Walcott and Asharvin so that they can join Chamakh (at the Africa Cup of Nations).
 
Rosicky ni bora kuliko hizo chuya nyingine....Ni mzuri sana kwa kubadilisha mchezo,hata leo yeye ndio alibadilisha mchezo mara baada ya kuingia na kutoka Benayoun ambaye alipwaya kati..

Btw....Mwaka huu ubingwa unaweza kwenda White Hart Lane....

Ni kweli mkuu Rosicky ni bora kuliko hao wengine, sema nilikua nazungumzia kama tuna malengo yoyote huko mbeleni, basi nae ni wakumruhusu aondoke tu. Nimechoka kuyaona majina yao bench, yanakatisha tamaa.

Spurs kikosi chao kizuri na bench lao zuri. Wana nafasi kubwa kuchukua washindwe wenyewe.

Umeona AW anataka kuleta beki wa kushoto kutoka Oman? Wakati mabeki kibao kwenye ligi wapo wenye uzoefu.
 
Halafu huyu Sinclair ananikumbushia Lunyamila lol

Ligi ya Uingereza ni ngumu, tukubali hilo, there is nothing as such as an easy match or team.

Arsenal hawana depth kwenye squad yao, ubahili wa Wenger kwa kushirikiana na owners.

Na sababu kubwa ni kushuka kwa viwango kwa timu "kubwa". Look at the quality of football displayed by the so called top four ni duni sana ukilinganisha na misimu iliyopita na hii inawapa mwanya timu "ndogo" kufanya kweli.
 
Tunasubiri tuwakaange kisawa sawa..ha ha
Arsenal ni full presha..ila naona wewe ni 100% damu damu nayo!

Nyie wenyewe wagonjwa pia, mechi ya jumapili ni ya kuangalia nani apelekwe ICU.

Timu yetu tushaizoea, presha tunaweza kuimudu; si unaona washabiki wa Wigan?
 
Namsubiri Kaka yangu Wacha

Wacha aliomba udhuru kuwa hatoonekana jukwaani ili ashiriki maombolezo kwanza, bahati mbaya "msiba mwingine (huu wa leo) umemkumba" sijui itakuwaje.
 
kwani imekuwaje huku tena.........Wacha1 uko wapi hebu tupe taarifa........
 
Kwa mwendo huu come June/July, RVP lazima atinge Manchester. Arsenal walihitaji striker mzuri wa kusaidiana na RVP sasa mnapomsajili TH who will only be around for six weeks then what? Gervinhio? Ashavin? Sote tunajua kuwa duru la pili majeruhi huwa wanakuwa wengi na RVP kutokana na historia yake msitegemee atacheza mechi zote msimu uliobaki sasa nani ataongoza mashambulizi?

It is a pitty that next year CL mtakuwa watazamaji kama sisi (Bwawa la maini) wakati uwezo wa kuwa ndani ya top four upo kama AW atafanya usajili wa maana.
 
tehe tehe tehe tehe tehe...hamieni kwenye basi kubwa jman kibajaji kimejaa hicho mtakufa kwa kukosa hewa...
 
Ebana Gemu ya leo Ramsey Kachoma Magoli mawili, dawa yake gemu ijayo apigwe benchi ili akili imkae vizuri. Goli la 3 lilikuwa la kipuuzi nalo.
 
Nilitaka kulala without saying hi to you Arsenal fans..Poleni eeeehhh ndo ukubwa..
 
vipi wazee wa vibabu..

Sisi tuna vibabu na wana experience na ndio tunawategemea sana sasa vipi nyinyi kila siku mnapoteza na watoto inakuwaje hivi,na weekend tunakuja na huu mpira mliocheza leo mtakunywa nyingi sana
 
Sisi tuna vibabu na wana experience na ndio tunawategemea sana sasa vipi nyinyi kila siku mnapoteza na watoto inakuwaje hivi,na weekend tunakuja na huu mpira mliocheza leo mtakunywa nyingi sana

Wangekuwa na uwezo wangekunywa hata pombe wapunguze mawazo..League ngumu..
 
N hapo hatufanyi wala usajili tunamalizia msimu na akika Arshavin na Chamakh.

Arshavin, Chamakh, Rosicky, Diaby na Squallaci hawa watu wanajaza tu nafasi; wote ni wakuwaachia waondoke

Vipi Chamakha mlivyonunua si mlikuwa mnasema kwamba mtashinda EPL mkuu inakuwaje tena alafu na Arshavin na yeye inakuwaje lakini??
 
AW wakati mwingine maamuzi yake yanachangia katika kupoteza michezo muhimu ambayo hatukustahili kupoteza. Sikumuelewa kabisa alipoamua kumuanzisha TH kwenye benchi. TH anaweza kabisa kwenda hata 60 to 75 minutes kwenye mikiki ya EPL. Natumai katika miezi hii miwili hatarudia kosa hilo tena la kumuanzisha kama reserve player.
 
Back
Top Bottom