Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi wakuu arteta vipi .. ni mgonjwa au kadi zilizidi..
 
Game za away nazo tumeanza kufanya vibaya. Arsenal ilikuwa na historia nzuri kipindi cha nyuma kwenye away games. But kuanzia mechi ya Fulham na hii..tumekuwa hovyo kabisa!
 
Poleni wakuu wenzangu.

Timu hipo hipo. Wenger anawabeba wachezaji kama Arshavin sijui kwa mpango gani. Mtu perfomance yake mbovu kila mechi bado tu unataka kumbeba hili iweje?
 
Game za away nazo tumeanza kufanya vibaya. Arsenal ilikuwa na historia nzuri kipindi cha nyuma kwenye away games. But kuanzia mechi ya Fulham na hii..tumekuwa hovyo kabisa!

Timu yetu hipo hipo tu mkuu, tukibanwa kidogo tu tunapiga magoti chini. Kocha nae yeye anaangalia tu kaishiwa mbinu, baada kuwajaribu wachezaji wengine lakini wapi.
 
Uwezo wa wenger kiufundi na ubunifu unatia mashaka kwa namna moja ama nyingine na nafikiri pia uwezo wa wachezaji wake inawezekana ikawa ni tatizo jingine,sidhani kama anajifanyia tathmini kwa kila mchezo vinginevyo tutaendelea kusuasua..nwy ndo mpira!!
 
Poleni wakuu wenzangu.

Timu hipo hipo. Wenger anawabeba wachezaji kama Arshavin sijui kwa mpango gani. Mtu perfomance yake mbovu kila mechi bado tu unataka kumbeba hili iweje?

Ningekuwa kocha kipindi cha majeruhi namba ya arshavin angecheza Walcott na namba ya Walcott angeanza Alex . Vipi arteta mkuu .. ni card nyingi au mgonjwa
 
Poleni wakuu wenzangu.

Timu hipo hipo. Wenger anawabeba wachezaji kama Arshavin sijui kwa mpango gani. Mtu perfomance yake mbovu kila mechi bado tu unataka kumbeba hili iweje?

co Arshavin peke yake na RAMSEY game nyingi 2 kacheza vibaya
 
N hapo hatufanyi wala usajili tunamalizia msimu na akika Arshavin na Chamakh.

Arshavin, Chamakh, Rosicky, Diaby na Squallaci hawa watu wanajaza tu nafasi; wote ni wakuwaachia waondoke
 
Swansea-v-Arsenal-Scott-Sinclair_2702803.jpg
 
Wakuu inakuwaje lakini??why msihamie United tu maana pressure tunapata kwa mwaka labda mara 3 sasa humu wenzangu kila siku ni pressure humu,poleni sana zaidi next week tunakuja kuwakandamiza kwa mara nyingine tena hapo hapo Emirates,lakini nawaonea sana huruma aiseee
 
vipi wazee wa vibabu..
 
Back
Top Bottom