Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hizo dk ulizosema anaweza akacheza lkn ni kwa tabu kidogo manake mwanzo wa mechi kuna mikiki mingi na spidi kubwa ambavyo cdhani kama ataviweza.Kingine yeye ni Legend,anatakiwa aingie kipindi cha pili ili aweze kuziba mapengo yanayooneka ili kuisaidia timu iweze kupata ushindi

Mkuu, biashara asubuhi jioni kuhesabu faida....Siku njema huonekana asubuhi. Kuanza na mzoefu kama TH ambaye wacheza wengine wanafahamu sifa nyingi alizojizolea kama mchezaji wa GUNNERS na Ufaransa ni motivation kubwa sana ya kujituma ili kuhakikisha magoli ya haraka haraka ukilinganisha na kuingia huku zikiwa zimebaki 20 minutes na tukiwa nyuma 2-1. Kama ulivyoona jana kuziba mapengo ni ngumu sana kama uko nyuma na muda uliosalia unazidi kuyoyoma.
 
kumbe hiyo timu ni ya wales..

Duh! Plastic fans mnashangaza sana, ni ligi gani sasa unafuatilia kama hujui kwamba Swansea inatoka Wales, au wewe unafuatilia Man Shitty peke yake?....hata simple geographical knowledge itakwambia kwamba Swansea ni jiji ndani ya Wales, au hili nalo ni gumu kwako?!!....PLASTIC AT BEST..hahahaha!
 
Mkuu, biashara asubuhi jioni kuhesabu faida....Siku njema huonekana asubuhi. Kuanza na mzoefu kama TH ambaye wacheza wengine wanafahamu sifa nyingi alizojizolea kama mchezaji wa GUNNERS na Ufaransa ni motivation kubwa sana ya kujituma ili kuhakikisha magoli ya haraka haraka ukilinganisha na kuingia huku zikiwa zimebaki 20 minutes na tukiwa nyuma 2-1. Kama ulivyoona jana kuziba mapengo ni ngumu sana kama uko nyuma na muda uliosalia unazidi kuyoyoma.

Poleni sana naona mko kwenye civil war.

I'm sorry! Henry apologises for swearing at Arsenal fan after Swansea defeat

Read more: Thierry Henry apologises for swearing to Arsenal fan | Mail Online
 
Arsenal inanitia unyonge sana!!!!!weekend zangu siku hizi ni stress kila wanangu arsenal wakicheza
 
Arsenal inanitia unyonge sana!!!!!weekend zangu siku hizi ni stress kila wanangu arsenal wakicheza

Ukitaka kuwa na amani mkuu gonga viroba vya kutosha kabla hujaanza kucheki game au uwe na panadol za kutosha kabla na wakati wa mechi.
 
huyu AW Inabidi aondoke maana uchumi wake unatuumiza vichwa kila wikiendi,juzi nilijaribu kupata viloba ila vikakata kwa mauzi mengi uwanjani
 
huyu AW Inabidi aondoke maana uchumi wake unatuumiza vichwa kila wikiendi,juzi nilijaribu kupata viloba ila vikakata kwa mauzi mengi uwanjani

Arsene Wenger haendi kokote, alipounda invisibles hakuna aliyelalamika, prof. ni tishio ndio sababu kila mechi za Arsenal zina utata na timu zote kubwa zinagwaya na mbinu zake makini. Wapinzani watalia sana na prof ... .... .... ati wanataka anunue mizoga thubutu!

Kweli kuna wachezaji ambao hawajitumi, lakini majeruhi wengi wataanza kurudi chacha hao wa kuwanunua kwa bei mbaya ambao hawako available tutawaweka wapi? We've got so may players its just a matter of time. Msione vinaelea lazima viundwe.
 
Wachezaji kama Djorou,Arshavin,Ramsey,Walcot,Chamakh hawastahili kuchezea Arsenal,Cahili ni bora kuliko huyo Merteseker
 
Back
Top Bottom