Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Halafu huyu Sinclair ananikumbushia Lunyamila lol

Ligi ya Uingereza ni ngumu, tukubali hilo, there is nothing as such as an easy match or team.

Arsenal hawana depth kwenye squad yao, ubahili wa Wenger kwa kushirikiana na owners.
 
Na kipa wa Swansea alivyokua mzuri jasho litatutoka hapa kuondoka ushindi leo kwa vile tumejiongezea. Mzigo
 
Kama ni chances wata create, hopefully at the end atakuwa Henry...

Dk ni ya 67
 
Angalau sasa tumeaza kutawala kiungo baada ya Rosicky kuingia...

Wenger amtoe na Ramsey sasa...
 
Back
Top Bottom