Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msikie huyu mshabiki wa Arsenal

Code:
Can we swap nationalities for Walcott and Asharvin so that they can join Chamakh (at the Africa Cup of Nations).

Daaa nimecheka sana na huyu naona ameamua kuongea ukweli kutoka moyoni mwake ameona hapo kuna pumba tu hamna mpya zaidi,Arsenal wanacheza mpira wa Show na sio Ushindi ndio tatizo kubwa sana....
 
Ebana Gemu ya leo Ramsey Kachoma Magoli mawili, dawa yake gemu ijayo apigwe benchi ili akili imkae vizuri. Goli la 3 lilikuwa la kipuuzi nalo.

Mkuu usitegemee mchezaji kila week atakuwa vizuri so hamna haja ya kumuweka bench pangwe kama kawaida tu atarudi kwenye form yake
 
AW wakati mwingine maamuzi yake yanachangia katika kupoteza michezo muhimu ambayo hatukustahili kupoteza. Sikumuelewa kabisa alipoamua kumuanzisha TH kwenye benchi. TH anaweza kabisa kwenda hata 60 to 75 minutes kwenye mikiki ya EPL. Natumai katika miezi hii miwili hatarudia kosa hilo tena la kumuanzisha kama reserve player.

Duh! Kweli mkuu hapo umeongea kutoka moyoni, sio kichwani. Henry hawezi kucheza hizo dk unazosema, umemwona lakini alivyokuwa anapumua kwa taabu? Lile goli la ushindi katoa pasi yeye, au hukuona pia?!! Kumbuka hii ni EPL, sio FA. Mwenye mapenzi haoni, ingawa macho anayo.....hahahahaha!!
 
lol! experience muhimu Mkuu popote pale.... hata akianza 45 za kwanza to 55 minutes ni bora sana kuliko kuanza kwenye benchi.
 
Poleni wazee wa magobole! Hivi Arsenal si wana hela? Kwa nini hawasajili wachezaji wenye viwango?! Kocha wenu na wa kwetu King Kenny wote akili sawa tu! Sijui vichwa vyao vimezeeka....?! Msikonde lkn, mtaibuka tu.
 
lol! experience muhimu Mkuu popote pale.... hata akianza 45 za kwanza to 55 minutes ni bora sana kuliko kuanza kwenye benchi.

Hizo dk ulizosema anaweza akacheza lkn ni kwa tabu kidogo manake mwanzo wa mechi kuna mikiki mingi na spidi kubwa ambavyo cdhani kama ataviweza.Kingine yeye ni Legend,anatakiwa aingie kipindi cha pili ili aweze kuziba mapengo yanayooneka ili kuisaidia timu iweze kupata ushindi
 
AW wakati mwingine maamuzi yake yanachangia katika kupoteza michezo muhimu ambayo hatukustahili kupoteza. Sikumuelewa kabisa alipoamua kumuanzisha TH kwenye benchi. TH anaweza kabisa kwenda hata 60 to 75 minutes kwenye mikiki ya EPL. Natumai katika miezi hii miwili hatarudia kosa hilo tena la kumuanzisha kama reserve player.
Tatizo lilikuwa kiungo sio mbele Ramsey,Benayoun na Arshavin walikuwa wanapoteza sana mipira
 
Halafu hiyo picha ya aserne wenger akishika kombe mwanzo mwa thread mbona anaonekana alikuwa kijana sana? Inaonekana ni miaka mingi ishapita tokea asenal mchukue kombe kwa mara ya mwisho, taratibu mtakuwa kama liverpool
 
Mkuu unatafuta watu wakununie sasa!
 
Jamani wana asenaliiiiii mpoooooo.......kazi mnayo wanadarisalama wa landani.tehe tehe tehe theeeeeeeeeeeeeeeee:eyebrows::lol::biggrin:
 
Swansea-v-Arsenal-Scott-Sinclair_2702803.jpg

Walifikiri SINDIMBA kumbe wako bwawani, Bata maji ame watamia. tehe tehe tehe tehe tehe
 
Tuna hali mbaya sana lakini mambo yatarudi kuwa normal soon.
 
Back
Top Bottom