Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread


...mnh, ARSENAL Bana....Anyway, am still and forever GUNNER FOR LIFE!
 
Asante sana jirani.....

Yaani tunafundishwa hasa, vijana wanacheza mpira mzuri kweli,wanakaba,wanashambulia na hawapaki bus...

Wametuzidi kwa kila kitu,,,,

Mkuu Bala huwa nakukubali kwa kuwa mkweli, hiyo ndiyo soka na huo ndiyo ushabiki...si hawa wapiga kelele wengine!
 
Hakika tulistahili kufungwa mechi ya leo....

Tulizidiwa kila idara.....

AW sometimes anakuwaga kama chizi(samahani kusema hivi) maana huwa anasubiri afungwe kwanza ndo aingize wachezaji wazuri......What a Loser....
 
Swanswea wamepiga mpira Leo .. inshort tumekuwa out played .. they deserve a win . Na mzeee wenger alishasema haingii sokoni.. tutarajie kuwaona kina arshivin sana tu ...
 
Poleni sana, ngoja tusubiri kesho wakati kigogo wa Ligi naye atakapoingia uwanjani tupate mwelekeo wa hii Ligi ya mwaka huu
 
Asante sana jirani.....

Yaani tunafundishwa hasa, vijana wanacheza mpira mzuri kweli,wanakaba,wanashambulia na hawapaki bus...

Wametuzidi kwa kila kitu,,,,

...very talented youngsters, wanakimbia balaa na tactics zao kama ARSENAL...
Wanachotuzidi ni determination!

Arsenal, wachezaji wengi madhali wanavaa jezi ya 1st Team, ishatosha.
 
Asante sana jirani.....

Yaani tunafundishwa hasa, vijana wanacheza mpira mzuri kweli,wanakaba,wanashambulia na hawapaki bus...

Wametuzidi kwa kila kitu,,,,



Arsenal wamezidiwa kwenye kiungo, Wenger anamwingiza Henry ambaye anaonekana kabisa hana pumzi ya kutosha! The returning king was just running around like a headless chicken.
 
Poleni the Gunners. Kwa sasa EPL haina mwenyewe, yaliyotokea leo yanaweza kumtokea Man City kesho.
 
Huko Uingereza hakuna mshabiki anaweza mtumia AW kimeta kwenye kibahasha? Nafac ya 4 kwenye msimamo ni ndoto 7bu chelsea,liverpool,newcastle na arsnl wote wanategemea nafac hiyo. Mzee mbishi sana
 
Aah, ndugu yangu Mbu upo, hapy new year!
Usijali matokeo mechi bado nyingi.


...nipo kaka, very same to you...

naandika maumivu tu kama kawaida,
target yetu miaka sita sasa ni champions league place.

...mwaka huu nahisi ARSENE WENGER asipoongeza nguvu dirisha hili
la january, ...tutaishia kugombania nafasi ya EUROPA league.
 
Leo Arsenal hata kupiga pasi 4 walikuwa hawawezi,ingekuwa Tz tungesema wamerogwa au wameuza mechi
 
Back
Top Bottom