Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger angemtoa Ramsey tu....

Hakuna lolote analofanya uwanjani zaidi ya kuharibu move....
 
Pia nawakumbuka B.Sagna na Santos. Ramsey anapoteza anatufungisha leo alitakiwa atolewe mapema kabisa
 
Hapa bora tuanze kupiga mashuti ya mbali sasa, tukijifanya kuingia nao tunalala. Wanakaba vizuri na wanatushambulia vizuri.
 
Sub aliyoifanya ni sawa tu, given the fact that kulikuwemo center halves watatu, Metasacker,Kolcsieny,na Djorouo
 
Yule dogo Jack Wilshere sijui naye anarudi lini?

Arsenal bado wana uwezo wa kufight for a draw.
 
Vijana wa Swansea wanacheza vizuri kweli....

Wanashambulia na kuzuia.....

Kumbe Mikel Arteta asipokuwepo mambo yanakuwa mabaya hivi....
 
Inahitaji moyo wa chuma kuwa mshabiki wa ARSENAL.....

Otherwise itakuwa ni BP kila siku....

Dakika ya 85 sasa
 
Back
Top Bottom