Tatizo aina ya team mlizokutana nazo subiri balaa la leo mtakuja mnaubora gani kwenye defenceKuna timu mbili hazijaconcede goli mpaka sasa.
Arsenal na Hull City.
Hull leo wanakua wamecheza mechi ya 3 bila kuconcede.
Arsenal kesho tupo dimbani
Arsenal kaanza msimu dhidi ya City chini ya kocha mliyedai ni bora kuliko Arteta hajaconcede.Tatizo aina ya team mlizokutana nazo subiri balaa la leo mtakuja mnaubora gani kwenye defence
Tatizo aina ya team mlizokutana nazo subiri balaa la leo mtakuja mnaubora gani kwenye defence
Huyu jamaa ana mahaba sana na chelsea mpaka haoni uhalisiaArsenal kaanza msimu dhidi ya City chini ya kocha mliyedai ni bora kuliko Arteta hajaconcede.
Akafuatiwa bingwa wa champioship chini ya kocha mliyedai ni bora kuliko Arteta hajaconcede.
Ikafuatiwa dhidi ya timu iliyo UEFA ambapo chelsea haipo hajaconcede hata shot on target.
Kuna shabiki wa united hua sijibu posts zake kwasababu niliona anaandika utumbo sana. Hii game ya leo ikiwa vile unavyosema nitaheshimu kwamba ulikua unaandika vitu unavijua ila mimi sikua naona.
Ikiwa hovyo na wewe itabidi ukae kushoto kwasababu unaandika sana broken.
Oya jiandae leo Everton akuharibie JumapiliHuyu jamaa ana mahaba sana na chelsea mpaka haoni uhalisia
Kwenye video ambayo page ya chelsea ilipost ya ushindi wao wa mwaka 2009 ukisikiliza vizuri unamsikia mtangazaji anasema "Kama kawaida, Arsenal inacheza mpira, Chelsea inascore"Ila sahivi tumekuwa strong sana, not a full squad lakini unaona we deploy total dominance, my problem with Arteta ni kwamba we're not entertaing as much km ilivyokuwa kipindi cha nyuma, kitu ambacho kinaninyima hali ya kuangalia game the full 90
Msimu kabla haujaanza Arteta alisema anapunguza kuwacontrol wachezaji na kuacha individual brilliance ichukue nafasi zaidi.Mwarobaini wa tatizo letu la kucheza sexy football ni kusajili superstar attackers, sahivi tunakosa balance btn defence na attacks, Vini Jr kama angesajiliwa ilikuwa ni asset kubwa sana kuliko Alvarez
Leo nimekutana na shabiki wa arsenal ambae sio mgonjwa wa akili.Chelsea leo wana attacks ipo relaxed kuliko yetu, they can pose a threat lkn haituzuii kushinda mechi, Arteta na Berta wameruhusu Chelsea na City Ku strengthen their squads wakati sisi tupo pale pale attacking-wise, hiki ndio kinafanya wao kuingia kwenye equation kurival dhidi yetu.
Wapinzani mnatafuta kila namna ya kujipa furahaNyie hamna kitu.... Zaidi ya kipa na beki !
Mbele kule ndio usiongee kabisa .... kai ? Eze ? Kichaa Victor Goyk ? Ama saka ambae hana consistence.....
Mid yenu pia yupo Rice tu...ode mpaka aamke vizuri, zubimendi Epl imemshinda, Bruno G huyu ni mtu haswa... changamoto hawezi kukupa mechi 10 consecutively, trip shamba trip gereji .....
Chelsea wanaweza kuwatoa kamasi, japo nao timu yao haiko poa, lakini attacking yao ipo njema kuliko kina Saka na Eze
Enzo Maresca kawa Bora kuliko Arteta tangu lini? Enzo Maresca inabidi awe na muda pale Man City kama ambavyo Arteta alivyopewa na Arsenal ndio atapimwa kwahiyo upaswi kumpima kwa kutumia kigezo cha Ngao ya hisani. Wewe subiri tu hiyo saa 12 na nusu huone mziki mneneArsenal kaanza msimu dhidi ya City chini ya kocha mliyedai ni bora kuliko Arteta hajaconcede.
Akafuatiwa bingwa wa champioship chini ya kocha mliyedai ni bora kuliko Arteta hajaconcede.
Ikafuatiwa dhidi ya timu iliyo UEFA ambapo chelsea haipo hajaconcede hata shot on target.
Kuna shabiki wa united hua sijibu posts zake kwasababu niliona anaandika utumbo sana. Hii game ya leo ikiwa vile unavyosema nitaheshimu kwamba ulikua unaandika vitu unavijua ila mimi sikua naona.
Ikiwa hovyo na wewe itabidi ukae kushoto kwasababu unaandika sana broken.
Ukitaka kujua level yenu ya Defence inaenda kupimwa leoChelsea leo wana attacks ipo relaxed kuliko yetu, they can pose a threat lkn haituzuii kushinda mechi, Arteta na Berta wameruhusu Chelsea na City Ku strengthen their squads wakati sisi tupo pale pale attacking-wise, hiki ndio kinafanya wao kuingia kwenye equation kurival dhidi yetu.