Weka ya kwako wewe, isiwe lodge, kwako wala hotelini.. iwe eneo la wazi.Weka location isiwe ghetto 😹
Yawe maeneo ya wazi..!!
Hivi Arteta ana mpango gani na Gyokeres?
Mechi ya jana hakupewa nafasi...I guess something must be cooking up🤔
Pasi anazopiga Odegaard kwa Kai akiwepo Gyokeres hauzioni.kiuwezo gyökeres na hata jesus wanastahili kuwa wana anza kila game ila ki mfumo wa arteta ,kai ana faida zaidi.. mwingine ni merino.. hao watu wako mbele ya gyökeres na jesus ki mfumo kuanza pale juu.
Unaambiwa mtaka cha uvunguni sharti ainame.Weka location isiwe ghetto 😹
Yawe maeneo ya wazi..!!
Nyie kweli vichaa, sifa zoote kw huto tumechi na timu ya championshipWakati Tzolis ananunuliwa nilikua naona mashabiki wa timu pinzani wanasema tumeishiwa ni kivipi tunatoa mchezaji kutoka ligi ya Ubelgiji.
Wakasema Vinicius tumemkosa tumeambulia galasa. Wakamalizia kwa kusema alishakua flop Norwich hana kipya cha kutoa.
Mimi sikuwahi kumjua huyu jamaa, nikaona tweet moja inasema aliyempeleka Kvaraskhelia Napoli ndiye kawaonyesha Arsenal Tzolis kama wanampinga wasubiri wajionee (sijaconfirm kama tweet ilikua sahihi tho, I just believed it)
Ebwana kweli, huyu jamaa anakupa kila kitu kwa balansi ileile.
Nilimuangalia kuanzia friend matches na jamaa alikua fire. Analinda na kushambulia kwa intensity ile ile, Martinelli alikua analinda zaidi akienda kushambulia anakua na akili ya Madueke. Mpira utoke nje au aurudishe nyuma. Miaka ya karibuni hakua vizuri kwenye 1v1.
Realistically, Calafiori anakupa asilimia kubwa kwenye kushambulia kuliko kulinda hivyo Tzolis angekua amefocus kushambulia pekee upande wao ungekua uchochoro.
Pamoja na kwamba haukua uchochoro ila kitakwimu mashambulizi mengi ya Coventry yamepitia kule. Saka na White wanajuana so upande wao haukutumiwa sana.
Ile tweet ya kusema aliyemuona Kvaraskhelia ndiye kamuona Tzolis subiri mjionee naona mmiliki wake atakua anachekelea pembeni.
Sasa hivi hausikii stori za Norwich, Vinicius au Ubelgiji
Usijumuishe watu.Nyie kweli vichaa, sifa zoote kw huto tumechi na timu ya championship
Hivi ulikuwa ujui Man U alikuwa anabebwa tena walikuwa Wana Refa wao Howard Webb akichezesha huyo na unacheza na Man U hesabu upo pungufu.Mwenye uwezo,mipango na Mbinu atachukua ubingwa, km var kila mtu inambeba na Kuna muda inamkandamiza, Kuna msimu arsenal waliteswa sana na red card,penalty na goli za Mpira kuvuka mstari nje nk...
So tuache hivyo visingizio mserereko kwamba Timu zingine zilikuwa dhaifu, huko ni kukosa heshima kwd mpinzani au wapinzani wako wa Mpira... So Man utd,Liverpool,Man city,Madrid,Barcelona nk enzi hizo wanachukua vikombe walichukua Kwa ubwete bila kuvuja jasho na damu???
😀😀😀View attachment 3654703
Kuna mtu anakuambia Caicedo anakua first eleven ya timu yoyote
Lini uliwahi kusema hamna timu?Napiga hesabu jinsi ya kukaa juu yenu
Ili niwe bingwa EPL
Timu ninayo mwaka huu
Hiyo jezi ushanunua kwanza?Weka ya kwako wewe, isiwe lodge, kwako wala hotelini.. iwe eneo la wazi.