Nakuunga mkona hasa case ya Zubimendi.Kuna watu humu mulikuwa mnataka Odegard aondoke. Me nasemaga wachezaji siyo maroboti, wanapataga fatigue sometime.
Mfano mwengine Saka, kacheza mechi nyingi. hayuko fit.lakini watu hawaelewi. Hata Zubimendi inatakiwa awe fully fit ndiyo tumjudge
Dogo alicheza gemu nyingi zaidi ya misimu iliyopita. Alizoea kuishia 40 na kitu ila alifikisha 57 na bado msimu ulikuwa haujaisha. Kibaya zaidi system yetu inahitaji upambanaji lasivyo namba sahau.