Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,336
- 77,111
Mashabiki wa United naona wameanza kusema Bruno Fernandes ni tatizo aondoke.
Mmoja anasema huyu amecheza na Pogba, Matic, Casemiro, McTominay, Fred, Mainoo na bado kiungo kipo hovyo. Leo anakuja Tielemans na Tielemans anaonekana ni kenge kuliko kawaida.
Mwingine akasema kosa kubwa ni makocha kutaka Bruno awe centre of the game plan. Hapa akatajwa Ole, Erik Kichwa Ngumu na Hakika Ruben ambao walimtegemea Bruno.
Akamalizia kwa kusema na Carrick anarudia kosa.
Nikacheka kwamba hii ni mechi moja, ngoja wapigwe na Ipswich tuone balaa.