Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,302
- 77,012
Lakini Arsenal hatutegemei strikers kushinda mechi.Tupo pale.... striker Jesus na Victor ? Hata rice fitness yake sio nzuri post worldcup.... tutakuwepo ......
Mnatetea ubingwa au sio ?
Lakini Arsenal hatutegemei strikers kushinda mechi.Tupo pale.... striker Jesus na Victor ? Hata rice fitness yake sio nzuri post worldcup.... tutakuwepo ......
Mnatetea ubingwa au sio ?
Tuko CL, EPL, Carabao na FA.Hivi arteta hana imani na mosquera ama, sioni sababu ya kumnunua konsa, mie kwangu ni ujinga.
Mambo yakienda vizuri kama msimu jana tutakuwa na mechi nyingi sana. Wachezaji watachoka na watakuwa wanaumia umia...Hivi arteta hana imani na mosquera ama, sioni sababu ya kumnunua konsa, mie kwangu ni ujinga.
Konsa amekuja kama back up ya Saliba.Hivi arteta hana imani na mosquera ama, sioni sababu ya kumnunua konsa, mie kwangu ni ujinga.
Watapanda ndege sana na treni za umeme sgr kwenda kucheza mechi kwenye majiji ya Manchester,Liverpool,Visiwa vya Brighton nk au ulimaanisha nje nchi Kwa Ajili mechi za Kimataifa hasa za Europa conference maana ndio Ligi Yao pendwa ya Kimataifa🤪🤪Baada ya mechi ya jana Chelsea haitapanda tena ndege kucheza mechi mpaka msimu ujao wakiwa wanajiandaa na preseason.
Manina
Kwa umri wa Mosquera na Salmon hao ni warithi wa Saliba. Huwezi jua lini Madrid watarudi tenaKonsa amekuja kama back up ya Saliba.
Mosquera Yule ni squad player tu sio starter
Huwa namuona ana kitu, haswa kwa RCBKonsa amekuja kama back up ya Saliba.
Mosquera Yule ni squad player tu sio starter
Mwenye uwezo,mipango na Mbinu atachukua ubingwa, km var kila mtu inambeba na Kuna muda inamkandamiza, Kuna msimu arsenal waliteswa sana na red card,penalty na goli za Mpira kuvuka mstari nje nk...Nyie ombeni team zingine zisiwe kwenye ubora ili kusiwepo msesereko
Maka ni muda sasa utimize ahadi yako.Hivi arteta hana imani na mosquera ama, sioni sababu ya kumnunua konsa, mie kwangu ni ujinga.
Usinitie ubaya, we tuliongea vipi, sasa hiyo jezi unaipataje?Maka ni muda sasa utimize ahadi yako.
Kombe tumechukua lakini jezi sijapata na unazuga kama hujui vile uliahidi nini?? 😹
Napenda wachezaji wa namna hii, huyu ni version bora ya martinelli, martinelli ajifunze kwa jamaa nae atakuwa boraHuyu mgiriki ana hasira
Weka location isiwe ghetto 😹Usinitie ubaya, we tuliongea vipi, sasa hiyo jezi unaipataje?