Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wamefika fainali kwa kupitia njia nyepesi huwezi kulinganisha na PSG Hilo walipaswa wamshukuru Mungu
 
Bc mpaka hapo ujue hakunaga fundi wa penalti
Fundi wa penalty hakuna ila kumpa Gabriel Bado si sahihi . Ndio maana hakuna anayemlaumu Gabi kwa kukosa penalty . Gabriel ni defender anayejitoa haswa.
Madueke nakumbuka alikua anagombania penalty na palmer akiwa Chelsea huu ndio ilikuwa wakati wake wangempa yeye ili hata akikosa alaumiwe na kina castr 😄
 
Kwakuwa hukutegemea eze kukosa penalty, bc tuishie hapo hapo kuwa hakuna fundi wa penalti
 
Kwakuwa hukutegemea eze kukosa penalty, bc tuishie hapo hapo kuwa hakuna fundi wa penalti
Suala ni kwanini umpe Gabi? Sijawahi kuona Gabi anapiga penalty na inawezekana hajawahi kabisa tofauti na mazoezini na hata magoli yake mengi ni ya kichwa na si ya kutumia mguu . Lakini mwanangu madueke mpaka anagombania kupiga penalty tena kwenye mechi live kabisa huu ndio ilikuwa wakati wake sasa😄.
Arteta naye kuna muda pressure ya maamuzi inakuwa kubwa musqera alikua ana kadi ya njano kulikua hakuna haja ya kusubiri mpaka dakika ya 70 kufanya sub na timber yupo benchi .
Wale PSG nao duuuh 🔥 🔥 🔥 mpira muda wote wanao wao tu pia Arsenal kushika bomba defence wanayo kweli
 
Yah defense ya arsenal iko fantastic knoma
 
Kipindi walivyokuwa wanacheza sexy football mbona walikuwa hawafiki mbali?
 
Hamkupashwa kufika uku lakini gunners
 

Attachments

  • Facebook_1780216016944(480p).mp4
    1.4 MB

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…