Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Defence sio mbovu lakini bado haipo sawa, wanapitika kirahisi. Halafu ukiwapgia mipira mirefu kuzuia kwa tabu sana.
Hiyo ni kwasababu ya midfielder sio Defence hili nimewahi kulisema Chelsea haina midfielder anaeweza kunusa hatari kama Caicedo kitu ambacho kimeshindwa kufanywa na Lavia na James
 
Ubaya wa defence huko wapi sema ni vile haukuangalia mpira Sanchez mguuni ni mbovu na kudaka napo ana makosa yake mipira ansyopiga sio sahihi ndio maana anaiweka team kwenye hatari lakini defenders unaona kazi wanaifanya
Nimeangalia highlights

Goli lao la kwanza la Fulham mtu aliyepiga shuti alikua amefanya run ya ndani ya box huku akiwa peke yake.

Akaweza kuupokea mpira na kujiandaa na kuweza kupiga shuti huku defense yote ikiwa ipo mbali naye. Zamani nilikua nasema Cucurella ni mbovu kwakua hizi ndiyo zilikua mistakes zake.

Goli la pili, kipa kapigiwa shuti katema miguuni kwa adui ambaye alikua na beki wenu ila akachelewa kuweka mguu jamaa akascore.

Naona rating ya colwill kwenye hiyo game ipo chini kuliko wenzake. Notice kwamba hata Calum alijaribu back 3 alivyoachiwa timu na mlikua mnafungwa.

Tuendelee kucheki mechi tujionee
 
BRUNO FERNANDES ni player of the season.
Wapiga kura ni wachezaji tu, sio mashabiki Wala waandishi wa habari
Haiitaki kuelezea sana jinsi alivyostahili alifanya kazi kubwa msimu uliopita.
Class yake ni permanent, msimu huu najua atatufaa sana na tutakuwa bora zaidi coz tunawachezaji wazuri

Hope tutakuwa mabingwa au nafasi ya pili.
Arteta anajua mpizani wake ni carrick tu, lkn nyie mashabiki wenye chuki mnatutoa mpaka top four 😅😅 kisa game ya ufunguzi
Ni kama hakuna atakaefungwa
 
Binafsi mimi ni mmoja katika ya wale watu wachache wasiomtaka huyu J Alvares
Hatakua na commitment na arsenal coz barca ndio chaguo lake la kwanza

Laiti atletico wakiwakazia baraca na only option ikabaki labda aje arsena, maana kubaki pale atletico ishakua ngumu. Bas tupeleke offer ya £45.
Wakikataa basi wajue pakumpeleka

Kiasi wanachokitaka atletico mbona tunaweza kwenda kumbeba yoyote yule, kvicha, doue, haaland au olise
 
0% chance ya kwenda barca
Na ngumu kubaki atletico

Je wapi anaenda? Ukiaachana na arsenal wanaomtaka
Hii biashara nyepesi sana upande wa arsenal. Tena ikiwezekana kwa mkopo tutamnunua mwisho wa msimu not obligation
IMG-20260826-WA0013.jpg
 
Msimu uliopita tulikutana na Bayern tukawapiga 3. Baada ya mechi kocha wao, Vincent Kompany, akaulizwa juu ya mechi akajibu anatamani akutane tena na Arsenal kwakua haamini kwamba Arsenal ipo level ambayo wao wataona hawawezi kutufunga.

Akaulizwa Kimmich kama Arsenal ni mpinzani mgumu akajibu hapana kwakua Arsenal tulikua aggressive kwenye second balls, tegemezi wa set pieces na long balls.

Msimu huu tunakutana nao tena, I hope Arteta kawaonyesha na atawaonyesha haya majibu wachezaji wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom