HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
😀 😀 😀 na hapo sijarudi nyuma kwa akina Gakpo na Nunez. Nashindwa kurudi mpaka kwa kina Van Dijk na Mane maana hao mlibeba nao makombe kibao 😀😀😀Mtuacheee tunajipanga kwa sasa... Congratulations Champions 🔥🔥🔥🔥🔥
YNWA
Sasa tunawataka akina Kroupi, Alvarez, Rogers na Mika Godts. Mtawanyakua na hao ama?