1994 - UEFA Cup Winners Cup, Coppenhagen. Arsenal tulishinda 1-0 dhidi ya Parma ya Italia.
Hili kombe lilikuwa linapambaniwa na timu zilishoshinda vikombe vya ndani vya ligi za Ulaya kama vile FA Cup ya England, Copa del Rey ya Spain, etc.
Mwaka 1999 hili kombe lilikuja kufutwa na kujumuishwa na shindano lingine, Europa League baada ya mfumo wa Champions League kubadilika na kuanza kuchukua timu za nafasi za juu, badala ya washindi wa vikombe vya ndani tu. Tukitaka 'kujimwambafy' saaana tunaweza kusema tuna ka Europa au ka pre-Europa kamoja.
Mwaka 1995 tulifika fainali katika kutetea ubingwa wetu ila tulipigwa 1-2 na Real Zaragoza ya Spain.
View attachment 3597505